Rais wa Zanzibar na MBLM Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Nd,Khadija Khamis Rajab kuwa Katibu Mkuu,Anayeshuhulikia masuala ya (Kazina Uwekezaji).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) akimuapisha Nd,Khadija Khamis Rajab kuwa Katibu Mkuu, Anayeshuhulikia masuala ya (Kazina Uwekezaji) katika Ofisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji hafla iliyofanyika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.