Rais wa Zanzibar na MBLM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Sauti za Busara Zanzibar ukiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Mhe. Simai Mohammed Said,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Sauti za Busara
Zanzibar ukiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Mhe.Simai
Mohammed Said (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa
mazungumzona kujitambulisha