RAIS wa Zanzibar na MBLM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo Mhe. Jaji Mstaaf Mhe. Hamid
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi
Zanzibar, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo Mhe. Jaji Mstaaf Mhe.Hamid Mahmoud (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijni Zanzibar kukabidhi Ripoti ya Uchaguzi Mku wa Zanzibar ulifanyika Oktoba,28, 2020.