Rais wa Zanzibar na Mwenyeiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa UNDP hapa Tanzania wakati wa mazungumzo yao
Rais wa Zanzibar na Mwenyeiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa UNDP hapa Tanzania wakati wa mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kujitambulisha