RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisoma risala kwa Wananchi kuukaribisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa mwaka 2021.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisoma risala kwa Wananchi kuukaribisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa mwaka 2021,sawa na Mwaka 1442 Hijria, kupitia vyombo vya habari katika ukumbi wa Ikulu Jijini
Zanzibar.