RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia fatha wakati Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi akitia ubani kwa ajili ya kuaza ka Kisomo cha Hi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia fatha wakati Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi akitia ubani kwa ajili ya kuaza kwa Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Sheikh.Abeid Amani Karume, iliyofanyika 7-4-2024 katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.