RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Masheikh na Viongozi wa Dini katika kuitikia dua ikisomwa na Sheikh. Khamis Abdulhamid (hayupo pichani)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Masheikh na Viongozi wa Dini katika kuitikia dua ikisomwa na Sheikh. Khamis Abdulhamid (hayupo pichani) baada ya kumaliza kumsalimia na kumtakia Kheri na Sikukuu ya Eid Fitry, na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdulla