RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi mshindi wa Kwanza wa Mashindano ya Kimataifa ya Afrika Mashariki ya Kuhifadhi Quran Juzuu 30 Mahmo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi mshindi wa Kwanza wa Mashindano ya Kimataifa ya Afrika Mashariki ya Kuhifadhi Quran Juzuu 30 Mahmoud Kassim Nassor kutoka Zanzibar (kulia kwa Rais) kwa kuibuka mshindi katika mashindano hayo kwa mwaka 2024 yaliyofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mdhamini wa mashindano hayo Alhajj Said Nassor (Bopar) na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdullah