RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa kitambaa kuashiria kuufungua Msikiti Masjid Istiswaam Kizimkazi Mkunguni Mkoa wa Kusini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa kitambaa kuashiria kuufungua Msikiti Masjid Istiswaam Kizimkazi Mkunguni Mkoa wa Kusini Unguja leo 8-3-2024, na kujumuika na Wananchi wa Kizimkazi katika Ibada ya Sala ya Ijumaa na (kulia ) mfadhili wa ujenzi wa Msikiti huo wa Istiswaam Sheikh Yakoub Othman Saleh.