RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Mlezi wa Jumuiya ya Zawiyatul Qadiriya Tanzania Sheikh.Said Othman.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Mlezi wa Jumuiya ya Zawiyatul Qadiriya Tanzania Sheikh.Said Othman, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa na Kisomo cha Dua ya kumuombea Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika katika Msikiti Ngamia Welezo Wilaya ya Magharibi "A" Unguja leo 15-3-2024