Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa kitambaa kufungua hoteli ya Marijani Resort &Spa; katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 58
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa tatu kushoto)akiondoa kitambaa kufungua hoteli ya Marijani Resort &Spa; katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,Pwani Mchangani Mkoa wa Kaskazini Unguja.