Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mwekezaji Nd.Hassan Raza alipotembelea maeneo mbali mbali katika “Hoteli ya Kitalii ya Golden Tul

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mwekezaji Nd. Hassan Raza alipotembelea maeneo mbali mbali katika “Hoteli ya Kitalii ya Golden Tulip” mara baada ya Uzinduzi wa Hoteli hiyo.