Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Balozi wa Oman Nchini Tanzania Mhe.Ali Al Mahrooq aliyefika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kuaga
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Balozi wa Oman Nchini Tanzania Mhe.Ali Al Mahrooq aliyefika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza muda wake wa Kazi Nchini.