Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akiwapungia mkono Wananchi kama ishara ya kuwaaga baada ya Sala ya Ijumaa katika Masjid Munawara Chumbuni
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akiwapungia mkono Wananchi kama ishara ya kuwaaga baada ya Sala ya Ijumaa katika Masjid Munawara Chumbuni Wilaya ya Mjini Mkoa, Mjini Magharibi.