Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)akizungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk.Damas Ndumbaro
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)akizungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk.Damas Ndumbaro alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kusalimiana