Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) akiwa na Mwenyekiti wa Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Kimataifa ya Wachakata nafaka (IAOM MEA 2022)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili katika Hoteli ya Verde Mtoni leo kuufungua Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Kimataifa ya Wachakata nafaka.