RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akizungumza na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji Mhe.Filipe Jacinto N
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akizungumza na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji Mhe.Filipe Jacinto Nyusi akiwa na Mkewe Mama Isaura Nyusi, wakiondoka katika uwanja wa mpira wa Matora baada ya kumalizika kwa Maadhimisho ya sherehe za Miaka 50 ya Ushindi wa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji iliyofanyika katika uwanja huo leo 7-9-2024