Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amesema Amani ya nchi ndio hoja ya Kwanza ya Msingi ya Chama Cha Mapinduzi.

Amesema Wananchi wana Wajibu wa kuhakikisha Amani inadumu kwani ndio msing wa Maendele yote na kuahidi kuisimamia amqni iliyppo.Rais Dkt, Mwinyi amesem Chama hicho kinajidi kwa kufanikikiwa kuleta Maendeleo ya Watu na vitu Unguja na Pemba baada ya kufanikiwa kuleta maridhiano na kuwaunganisha Wazanzibar.

Amefahmisha kuwa Ongezeko la ufaulu wa Wanafunzi hivi sasa ni hatua kubwa ya Ukuaji wa sekta ya Elimu na kuahidi Ujenzi zaidi wa Skuli za kisasa.Amefahamisha kuwq katika kipindi kifupi kijacho sulala la Maji litapatiwa suluhisho la kudumu na Wananchi wote kupata huduma ya maji na kuahidi Ujenzi wa Bandari ya Wete na Bandari ya Shumba..

Kuhusiana na Barabara Dkt Mwinyi amesema bado ipo ka,I ya kufanya na Serikali imejpanga kuzijenga Barabara zote kuu na zile za ndani katika muda mfupi ujao.Aidha amesema Awamu ijayo itaonge a pensheni jamii kwa Wazee na Pensheni kwa Wastaafu pamoja na kuwawezesha Wanawake wanaolima Mwani kwa kuwaandalia Mazingira mazuri zaidi ikwemo.kuwapatia Mikopo isio na riba pamoja na utoaji wa Boti kwa Wavuvi.

Akizungumzia gharama za chakula Dkt, Mwinyi amesema bei za vyakula zinapanda kwa sababu ya gharama za Usafiri hivyo Serikali imeimarisha Bandari ikiwemo ya Mkoani ili kutoa Unafuu kwa Usafishaji ili kupunguza bei za bidhaa.Eneo jengine ni ujenzi wa mqghala ya Kuhifadhia Chakula na kununua bidhaa za chakula Tanzania Bara wakati wa mavuno na kuhifadhi Chakula kwa lengo la kushusha bei kwa Wananchi.

Akizungumzia zao la Karafuu amesema Serikali imeamua Kutoa hati za Mashamba ya Serikali kwa Wananchi ili kuyatunza na kuzalisha zaidi na kuahidi Serikali kuendelea Kuliimarisha zao la Karafuu ili liendelee kuleta tija kwa Uchumi wa Zanzibar. Rais Dkt, Mwinyi ameyasema hayo alpozungumza na Mamia ya Wanachama wa CCM na Wananchi katika Mkutano wa Kampeni uliofanyika Uwanja wa Michezo cha Msuka,, Jimbo la Konde, Mkoa wa Kaskazini Pemba.

Mkutano huo umejumuisha Makundi ya Wavuvi,Wajasiriamali,  Mama Lishe ,Waendesha Bodaboda, Akinamama na Wajane.Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Dkt, Muhammed Said Dimwa amesema Serikalli iimefanya Maendeleo makubwa katika Mkoa wa Kaskazini Pemba kwa kuimarisha huduma bora katika sekta zote katika miaka mitano iliopita
Amefahamisha kuwa Wananchi wana kila sabau ya kumchgua tena Dkt, Mwinyi kwani ni Kiongozi Muadilifu,Mkweli na anaetekeleza yote anayowaahidi Wananchi.

Mkutano huo wa Kampeni Ulishudia Wanachama 364 wa Chama cha ACT Wazalendo waliojiiunga na Chama Cha Mapinduzi na kula kiapo cha Utii pamoja na Kumkabidhi Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Zanzibar Dkt Hussein Ali Mwinyi Kadi za Chama Cha ACT Wazalendo. Cha Mapinduzi ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amesema Amani ya nchi ndio hoja ya Kwanza ya Msingi ya Chama Cha Mapinduzi.

Amesema Wananchi wana Wajibu wa kuhakikisha Amani inadumu kwani ndio msing wa Maendele yote na kuahidi kuisimamia amanii iliyppo.Rais Dkt, Mwinyi amesema Chama hicho kinajidi kwa kufanikikiwa kuleta Maendeleo ya Watu na vitu Unguja na Pemba baada ya kufanikiwa kuleta maridhiano na kuwaunganisha Wazanzibar.

Rais Dķt, Mwinyi ameyasema hayo alipozungum,a katika Mkutano wa Kampeni uliofanyika Uwanja wa Michezo wa Msuka ,Mkoa wa Kaskazini Pemba leo tarehe 6 Oktoba 2025, Mkutano huo ulijumisha Makundi ya Bodaboda ,Wavuvi ,Wajasiriamali, Mama lishe ,Waendesha Bajai na Akinamama na Wajane.

Aki,ungumzia suala la Elimu amefahmisha kuwa Ongezeko la ufaulu wa Wanafunzi hivi sasa ni hatua kubwa ya Ukuaji wa sekta ya Elimu na kuahidi Ujenzi zaidi wa Skuli za kisasa.Amefahamisha kuwa. katika kipindi kifupi kijacho sulala la Maji litapatiwa suluhisho la kudumu na Wananchi wote kupata hudumu.