Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwa katika picha ya pamoja wakati alipokutana na ujumbe wa Taasisi ya Big Win Philanthropy ulioongozwa na Mtenda
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwa katika picha ya pamoja wakati alipokutana na ujumbe wa Taasisi ya Big Win Philanthropy ulioongozwa na Mtendaji Mkuu wake, Dkt. Kesete Admasu Adams, uliofika Ikulu Zanzibar wakati akiwasilisha Ripoti ya Utafiti wa Msingi kuhusu Hali ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Mtoto Zanzibar.