Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza leo, tarehe 22 Juni 2026, alipokutana na Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Jaji George Masaju, aliyefika Ikulu Za
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza leo, tarehe 22 Juni 2026, alipokutana na Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Jaji George Masaju, aliyefika Ikulu Zanzibar kwa ajili ya kujitambulisha.