RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi maalum ya Mlango wa Zanzibar mgeni wake Naibu Katibu wa Idara ya Kilimo ya Marekani Dkt.Jewel Hairsto
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi maalum ya Mlango wa Zanzibar mgeni wake Naibu Katibu wa Idara ya Kilimo ya Marekani Dkt.Jewel Hairston Bronaugh, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 4-11-2022.