RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza wa Waziri wa Katiba na Sheria Tanzania Mhe.rof. Palamagamba Kabudi, alipofika Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Waziri wa Katiba na Sheria
Tanzania Mhe.rof. Palamagamba Kabudi, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo akiwa na Ujumbe wake,mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.