RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimvisha Nishani ya Mapinduzi Rais wa Zanzibar Mstaafu wa Awamu ya Saba Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimvisha Nishani ya Mapinduzi Rais wa Zanzibar Mstaafu wa Awamu ya Saba Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.