RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa kitamba kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Madarasa Sita ya Skuli ya Msingi ya Sebleni Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa kitamba kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Madarasa Sita ya Skuli ya Msingi ya Sebleni Wilaya ya Mjini Unguja akiwa na Mbunge wa Jimbo la Kwahani Zanzibar Mhe. Ahmada Yahya Abdulwakil, ikiwa ni shamra shamra za kusherehekea Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,na (kulia kwa Mbunge) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.