RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Mtawala wa Dubai Sheikh.Mohammed Rashid Al-Makhtoum,
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Mtawala wa Dubai Sheikh.Mohammed Rashid Al-Makhtoum,baada ya kumalizika kwa hafla ya utowaji wa zawadi kwa washindi wa shindano la “Zayed Sustainability Prize Awards” na ufunguzi wa Wiki ya Uendelezaji wa Masuala ya Kibinadamu. Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Maonesho wa Dubai,akiwa katika ziara ya kiserikali katika Umoja wa Nch za Falme za Kiarabu UAE.