RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi wa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji Dk.Mateus Magala, wakati wa ziara yake k
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi wa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji Dk.Mateus Magala, wakati wa ziara yake kutembelea Bandari ya Maputo Msumbiji leo 8-9-2024, na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi