Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi akikagua Gwaride la Vikosi vya Ulimzi na Usalama vya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na vikosi vya
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi akikagua Gwaride la Vikosi vya Ulimzi na Usalama vya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na vikosi vya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya sherehe za miaka 61 ya Mapinduzi zanzibar yaliyofanyika katika kiwanja cha Mpira cha Gombani kisiwani Pemba.