Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa LIAONING FANGDA GROUP OF COMPANIES kutoka China, Bwana Ao Xinhua, walipoku
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa LIAONING FANGDA GROUP OF COMPANIES kutoka China, Bwana Ao Xinhua, walipokutana na Mheshimiwa Rais Ikulu Zanzibar leo, tarehe 26 Machi 2026.