Toggle navigation
Leave this field blank
President's Office and Chairman of Revolutionary Council, Zanzibar
Home
President's Office
Overview
Vision & Mission
President
Past Presidents
Administration
Revolutionary Council
Office of the President
Media
News and Events
Speeches and Statements
Press Releases
Photos
Videos
Videos 2
Publications
Speeches
Action Plans
Publications
Reports
Budgets
Blog
Contact Us
Ikulu
State House Zanzibar
State House Zanzibar
Media
News and Events
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Commodore Azana Hassan Msingiri wakati wa ghafla ya kutunuku Nishani ya Mapinduzi pamoja na Nishani ya Utumishi Uliotukuka katika viwanja vya ikulu zanzibar.
Media
News and Events
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiondoa kipazia kuashiria ufungua rasmi wa Mradi wa Shamba la Ufugaji wa Kuku wa Zan Breed Limited, na akisisitiza kuwa uwekezaji huo mkubwa lazima uwanufaishe wafugaji wadogowadogo kupitia elimu, vifaranga bora, chakula cha kuku, huduma za chanjo na masoko ya uhakika.
Media
News and Events
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwasili eneo la Mwanakwerekwe katika hafla ya ufunguzi wa Barabara ya Juu (Flyover) ya Dkt. Hussein Ali Mwinyi – Mwanakwerekwe, Mkoa wa Mjini Magharibi, ikiwa ni sehemu ya shamrashamra za maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Media
News and Events
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa soko la kisasa la mboga mboga liliopo Mombasa Wilaya ya Magharib "A" Mkoa wa Mjini Magharib Unguja leo tarehe 4 Januari 2026
Media
News and Events
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiondoa pazia kuashiria uzinduzi wa Soko la Kisasa la mbogamboga lililopo maeneo ya Mombasa Mkoa wa Mjini Magharibi leo tarehe 04 Januari, 2026.
President
H.E. Dr. Hussein Ali Mwinyi
President of Zanzibar and Chairman of Revolutionary Council
Talk to the President
News and Events
Mama Mariam Mwinyi ametembelea Shamba la Ngano la Mleiha na kituo cha Urithi wa Kihistoria Sharjah.
16 Jan 2026
by Ikulu Staff
Dkt Hussein Ali Mwinyi amewanasihi Waumini wa Dini ya Kiislamu Kutenda Mambo Mema ili kutajwa kwa Wema ndani ya Jamii pale wanapotangulia mbele ya Haki
16 Jan 2026
by Ikulu Staff
Mama Mariam Mwinyi kushiriki Tamasha la Pili la Fasihi na Kazi za Sanaa za Afrika Sharjah.
14 Jan 2026
by Ikulu Staff
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imefanikisha Ujenzi wa Viwanja vya Michezo kwa kila Wilaya za Zanzibar
14 Jan 2026
by Ikulu Staff
More News and Events
Videos
Facebook
Publications
Hutuba ya Rais wa Zanzibar MBLM Dk. Hussein Ali Mwinyi ya Maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar 11 Januari, 2026.
11 Jan 2026
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi amewaachia huru Wanafunzi 17 wa chuo cha Mafunzo Zanzibar.
11 Jan 2026
Risala ya Rais wa Zanzibar na MBLM Mhe: Dk.Hussein Ali Mwinyi kuuaga mwaka wa 2025 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2026
31 Dec 2025
Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Manaibu Makatibu Wakuu
15 Dec 2025
English
Swahili