Media

DK. SHEIN AMEKUTANA NA VIONGOZI WA KAMPUNI ZA RAS AL KHAIMAH.

VIONGOZI wa Kampuniza Uwekezaji, Jumuiya ya Wafanyabiashara na Wenye Viwanda pamoja na Mamlaka za Vitega Uchumi za Ras Al Khaimah wameeleza azma yao ya kushirikiana na kuiunga Zanzibar ili izidi…

Read More

DK.SHEIN AMEZUNGUMZA NA MTAWALA WA RAS-AL- KHAIMAH.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amekutana na Mtawala wa Ras-Al-Khaimah Mtukufu Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasimi na kufanya nae mazungumzo yaliolenga…

Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, wakiwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,wakati akiondoka Nchini

DK. SHEIN AMEONDOKA NCHINI KUELEKEA RAS AL KHAIMAH KWA ZIARA YA WIKI MOJA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein anaondoka nchini leo kuelekea Ras Al Khaimah katika Umoja wa nchi za Falme za Kiarabu (UAE) kwa ziara ya wiki moja…

Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hotuba yake katika sherehe za maadhimisho ya kutimia miaka 20 ya kuanzishwa  kwa Bodi ya Mapato (ZRB).

MIAKA 20 YA ZRB.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amesema ukusanyaji mzuri wa mapato unaofanywa na taasisi za kukusanya kodi umeiwezesha serikali kupunguza utegemezi…

Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.

DK. SHEIN AMEWAAPISHA WAKUU WA MIKOA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo amewaapisha Wakuu wa Mikoa ya Kusini Unguja na Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja aliowateua hapo jana.

Read More

Dk.Shein amefanya mazungumzo na Rais wa Comoro Azali Assoumani.

Zanzibar na Comoro zimeahidi kuendeleza uhusiano na ushirikiano wa kidugu na kihistoria uliopo ambao una lengo la kuzidisha mashirikiano katika sekta za maendeleo kwa manufaa ya pande mbili hizo.Ahadi…

Read More

UTEUZI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi kwa viongozi katika taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kama ifuatavyo:-

Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Waziri anayeshuhulikia Mashirika yanayomilikiwa na Serikali ya Indonesia Bibi.Rini M.Soemarno alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe wake.

UJUMBE WA WAZIRI ANAESHUGHULIKIA MASHIRIKA YANAYOMILIKIWA NA SERIKALI YA INDONESIA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameipongeza azma ya Serikali ya Indonesia ya kuja kuekeza Zanzibar kupitia Makampuni na Mashirika yake ya Umma kutokana…

Read More