Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewasisitiza Waumini wa Dini ya Kiislamu na Wananchi kwa ujumla kuendelea kuiombea Nchi Amani
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewasisitiza Waumini wa Dini ya Kiislamu na Wananchi kwa ujumla kuendelea kuiombea Nchi Amani.Alhaj Dkt.…
Read More







