Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewasisitiza Waumini wa Dini ya Kiislamu na Wananchi kwa ujumla kuendelea kuiombea Nchi Amani

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewasisitiza Waumini wa Dini ya Kiislamu na Wananchi kwa ujumla kuendelea kuiombea Nchi Amani.Alhaj Dkt.…

Read More

Serikali itaendelea kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji ili kuvutia wawekezaji wengi wenye mitaji mikubwa kuja kuwekeza nchini

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwiinyi amesema Serikali itaendelea kuweka Mazingira Mazuri ya Uwekezaji ili Wawekezaji wengi wenye Mitaji Mikubwa waje kuwekeza…

Read More

Rais Mwinyi amekagua Maendeleo ya Ujenzi wa Zanzibar Sports City kuelekea Afcon 2027

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa kimkakati wa Zanzibar Sports City unaotekelezwa katika…

Read More

Rais Mwinyi amewagiza Mawaziri kuongeza Kasi ya Utekelezaji wa Majukumu na kushuka hadi kwa Wananchi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametoa agizo kwa Mawaziri na Manaibu Mawaziri kuongeza kasi ya utekelezaji wa majukumu yao na kushuka hadi…

Read More