Zanzibar kuwa Kitovu cha Utalii wa Michezo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali itaendelea kuwekeza katika ujenzi na uboreshaji wa miundombinu ya michezo kwa lengo la kuifanya…

Read More

Rais Dkt. Mwinyi amefungua nyumba za Wafanyakazi katika Hospitali ya Kitogani, na kuagiza ZHC kusimamie ujenzi wa makaazi ya Watumishi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema lengo la Serikali ni kuimarisha na kuongeza ubora wa huduma za afya kwa wananchi katika maeneo…

Read More

Rais Mwinyi ameongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mapinduzi katika kipindi cha Pili cha Serikali ya awamu ya Nane

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, leo tarehe 29 Disemba 2025, ameongoza Kikao cha kwanza cha Baraza la Mapinduzi (BLM) katika kipindi cha pili…

Read More

Ujenzi wa Skuli za Ghorofa ni suluhisho la uhaba wa madarasa.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali itaendelea kutekeleza mkakati wa ujenzi wa skuli za ghorofa kama suluhisho la kudumu la changamoto…

Read More