Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza leo, tarehe 27 Disemba 2025, alipoifungua Skuli Mpya ya Msingi ya Muungano iliyopo Kibanda Maiti, Mkoa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza leo, tarehe 27 Disemba 2025, alipoifungua Skuli Mpya ya Msingi ya Muungano iliyopo Kibanda Maiti, Mkoa wa Mjini Magharibi, ikiwa ni sehemu ya shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar.