Rais Dkt. Mwinyi amehimiza uimarishwa kwa Diplomasia ya Uchumi na Malaysia.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amemtaka Balozi wa Tanzania nchini Malaysia, Meja Jenerali Mbaraka Naziad Mkeremy, kutumia nafasi yake kuimarisha…

Read More

Rais Dkt.Mwinyi amesema tutunze miradi ya maendeleo iendelee kutoa huduma kwa Wananchi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewataka wananchi wa Kizimkazi na maeneo ya Kusini Unguja kutunza na kudumisha miradi ya maendeleo, ikiwemo…

Read More

Rais Dkt.Mwinyi: amesema SMZ itaendelea kuweka Mazingira rafiki kwa Sekta Binafsi katika Ujenzi wa Makaazi na Miradi ya Uwekezaji.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali itaendelea kuweka mazingira rafiki kwa Sekta Binafsi kushiriki katika ujenzi wa makaazi bora…

Read More

Rais Dkt Mwinyi amuapisha Mkurugenzi Mkuu Wizara ya Afya

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amemuapisha Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Maryam Seif Hemed, kufuatia uteuzi wake katika nafasi…

Read More

Dkt.Mwinyi, amesema Serikali imeamua kuweka mfumo wa camera za usalama barabarani ili kudhibiti ongezeko la ajali zinazotokana na uvunjifu wa sheria za barabarani

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali imeamua kuweka mfumo wa camera za usalama barabarani ili kudhibiti ongezeko la ajali zinazotokana…

Read More