Dkt.Mwinyi, amesema Serikali ina mpango maalum wa ujenzi wa majengo ya Afisi za Serikali, Baraza la Wawakilishi na Mahakama ili kuimarisha uwajibikaji
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali ina mpango maalum wa ujenzi wa majengo ya Afisi za Serikali, Baraza la Wawakilishi na Mahakama…
Read More