Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwasili katika Uwanja wa Mao Tse Tung kwa ajili ya kufungua Michezo ya Majeshi ya Tanzania 2025 ambeambatana na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwasili katika Uwanja wa Mao Tse Tung kwa ajili ya kufungua Michezo ya Majeshi ya Tanzania 2025 ambeambatana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF) Jenerali John Jacob Mkunda, pamoja na viongozi wa Serikali na vyombo vya ulinzi na usalama.