Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema waumini wa Dini ya kiislamu wana wajibu wa kuhakikisha Misikiti inatumika kwa ajili kufahamu mahitaji ya wananchi wa makundi tofauti waliopo katika maeneo husika

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema waumini wa Dini ya kiislamu wana wajibu wa kuhakikisha Misikiti inatumika kwa ajili kufahamu mahitaji…

Read More

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameupongeza utayari wa “Dream Team Exlorers” kutoka Oman kwa kuamua kuutangaza utalii wa Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameupongeza utayari wa “Dream Team Exlorers” kutoka Oman kwa kuamua kuutangaza utalii wa Zanzibar.

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amewaapisha Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali pamoja na Naibu Kadhi Mkuu Sheikh Othman Ame Chum.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewaapisha Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali pamoja na Naibu Kadhi Mkuu Sheikh Othman Ame Chum,…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi alisema ili Taifa liwe na amani, ni lazima kuhakikisha kila mwananchi anapata haki zake za msingi.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi alisema ili Taifa liwe na amani, ni lazima kuhakikisha kila mwananchi anapata haki zake za msingi.Dk. Mwinyi amesema…

Read More