Rais wa Zanzibar Alhajj Dk.Hussein Mwinyi amefungua Masjid Jibril Fuoni Bwiti na Sala ya Ijumaa Iliyofanyika hapo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Dini ya Kiislamu alipowasili Masjid Jibril Fuoni Bwiti Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 16-5-2025 kwa ajili ya ufunguzi wa msikiti huo, na kujumuia na Wananchi katika Sala ya Ijumaa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kufungua Masjid Jibril Fuoni Bwiti Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-5-2025 na (kulia kwa Rais) Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Mahmoud Mussa Wadi na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Jumuiya ya “Tears of Joy Foundation” Jaffar Hussein Babu na Sheikh Suwed Ali Suwed
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na waumini wa Dini ya Kiislam wakati alipofika katika ufunguzi wa Masjid Jibril Fuoni Bwiti Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-5-2025 na (kulia kwa Rais) Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Mahmoud Mussa Wadi na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Jumuiya ya “Tears of Joy Foundation” Jaffar Hussein Babu na Sheikh Suwed Ali Suwed.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kufungua Masjid Jibril Fuoni Bwiti Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-5-2025 na (kulia kwa Rais) Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Mahmoud Mussa Wadi na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Jumuiya ya “Tears of Joy Foundation” Jaffar Hussein Babu na Sheikh Suwed Ali Suwed.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Jibril Fuoni Bwiti, baada ya kuufungua msikiti huo leo 16-5-2025

MUFTI Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi akizungumza kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi kuzungumza na Waumini baada ya Sala ya Ijuma iliyofanyika katika Masjid Jibril baada ya kufunguliwa leo 16-5-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu ya Msahafu na Sheikh Mohamed Omar Alsheikh Juda, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Masjid Jibril Fuoni Bwiti Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-5-2025
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Juma amemuapisha Kamishna wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisaini hati ya kiapo ya Kamishna wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Zanzibar, baada ya kumuapisha Kombo Hassan Juma, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 15-5-2025 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Kombo Hassan Juma kuwa Kamishna wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Zanzibar, hafla hiyo ya uapisho iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 15-5-2025, na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Wananchi katika Maziko ya Marehemu Charles Hilary katika Makaburi ya Mwanakwerekwe Zanzibar 14-5-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiweka shada la maua katika kaburi la aliyekuwa Mkurugenzi Mawasiliano Ikulu Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali Marehemu Charles Martin Hilary, maziko yaliyofanyika leo 14-5-2025 katika makaburi ya Mwanakwekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiweka mchanga katika kaburi la Marehemu Charles Martin Hilary, aliyekuwa Mkurugenzi Mawasiliano Ikulu Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali, yaliyofanyika leo 14-5-2025, katika makaburi ya Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
MJANE wa Marehemu Charles Martin Hilary aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali.Bi. Sara Mwakanjuki akiwa na Watoto wake wakiweka mchanga katika kaburi likiwa na mwili wa marehemu, wakati wa maziko hayo yaliyofanyika katika Makaburi ya Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 14-5-2025
Mwili wa Marehemu Charles Martin Hilary aliyekuwa Mkurugenzi Mawasiliano Ikulu Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali.Bi.Sara Mwakajuki ukipelekwa kwenye kaburi lake hapo Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kwa ajili ya maziko yaliyofanyika leo 14-5-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akitowa heshima ya mwinsho kwa Marehemu Charles Martin Hilary, aliyekuwa Mkurugenzi Mawasiliano Ikulu Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali, baada ya kuweka mchanga, n\maziko hayo yaliyofanyika leo 14-5-2025, katika makaburi ya Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi mbalimbali wa Serikali na Wananchi katika maziko ya Marehemu Charles Martin Hilary, aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali na Mkurugezi wa Mawasiliano Ikulu Zanzibar, yaliyofanyika katika makaburi ya Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 14-5-2025.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja vya makaburi ya Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kuhudhuria maziko ya Marehemu Charles Martin Hilary, aliyekuwa Mkurugenzi Mawasiliano Ikulu Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali yaliyofanyika leo 14-5-2025 na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa
MJANE wa Marehemu Charles Martin Hilary aliyekuwa Mkurugenzi Mawasiliano Ikulu Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali.Bi.Sara Mwakajuki akiwa na Watoto wake akiwasili katika makaburi ya Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja yaliyofanyika leo 14-5-2025
Jeneza la Marehemu Charles Martin Hilary aliyekuwa Mkurugenzi Mawasiliano Ikulu Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ukishushwa katika kaburi lake alilozikwa hapo katika Makajuki ya ya Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja yaliyofanyika leo 14-5-2025
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amekabidhiwa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali Zanzibar kwa Kipindi cha Mwaka wa Fedha 2023/2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar kwa Kipindi cha mwaka wa Fedha 2023/2024, akikabidhiwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar (CAG) Dkt.Othman Abass Ali, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-5-2025

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar (CAG) Dkt. Othman Abass Ali, kabla ya kukabidhiwa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar kwa Kipindi cha mwaka wa Fedha, 2023/2024, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-5-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar kwa Kipindi cha mwaka wa Fedha 2023/2024, akikabidhiwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar (CAG) Dkt.Othman Abass Ali, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-5-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar (CAG) Dkt. Othman Abass Ali (kushoto) baada ya hafla ya kukabidhi Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar kwa Kipindi cha mwaka wa Fedha 2023/2024, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-5-2025
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezindua Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia Viwanja vya Mtende Mkoa wa Kusini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali alipowasili katika viwanja vya Mtende Mkoa wa Kusini Unguja, kwa ajili ya uzinduzi wa Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, uliofanyika leo 10-5-2025 Mkoa wa Kusini Unguja
WANANCHI wa Mkoa wa Kusini Unguja wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuifungua kampeni hiyo iliyofanyika katika Mkoa wa Kusini Unguja leo 10-5-2025. Katika viwanja vya Mtende
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mkaguzi wa Msaidizi wa Polisi, Vicent Innocent, Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto, wakati akitembelea maonesho hayo yaliyofanyika katika viwanja vya Mtende Mkoa wa Kusini Unguja, kabla ya kuzindua Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, uliofanyika leo 10-5-2025 (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Divisheni ya Usimamizi Msaada wa Kisheria Zanzibar,Yusfa Abdalla Said, wakati akitembelea maonesho hayo yaliyofanyika katika viwanja vya Mtende Mkoa wa Kusini Unguja, kabla ya kuzindua Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, uliyofanyika leo 10-5-2025 (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria ,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman
BAADHI ya Viongozi mbalimbali wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati akihutubia na kuzindua Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, uzinduzi huo uliyofanyika leo 10-5-2025 katika viwanja vya Mtende Mkoa wa Kusini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali alipowasili katika viwanja vya Mtende Mkoa wa Kusini Unguja, kwa ajili ya uzinduzi wa Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, uliofanyika leo 10-5-2025 Mkoa wa Kusini Unguja
BAADHI ya Viongozi mbalimbali wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati akihutubia na kuzindua Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, uzinduzi huo uliyofanyika leo 10-5-2025 katika viwanja vya Mtende Mkoa wa Kusini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Afisa wa Wizara ya Katiba na Sheria Tanzania –URT. Edith Shekidele, wakati akitembelea maonesho hayo yaliyofanyika katika viwanja vya Mtende Mkoa wa Kusini Unguja, kabla ya kuzindua Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, uliofanyika leo 10-5-2025 (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuzindua Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, uzinduzi huo uliyofanyika leo 10-5-2025 katika viwanja vya Mtende Mkoa wa Kusini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuzindua Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, uzinduzi huo uliyofanyika leo 10-5-2025 katika viwanja vya Mtende Mkoa wa Kusini Unguja
WANANCHI wa Mkoa wa Kusini Unguja wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuifungua kampeni hiyo iliyofanyika katika Mkoa wa Kusini Unguja leo 10-5-2025. Katika viwanja vya Mtende
WANANCHI wa Mkoa wa Kusini Unguja wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuifungua kampeni hiyo iliyofanyika katika Mkoa wa Kusini Unguja leo 10-5-2025. Katika viwanja vya Mtende
BAADHI ya Wanasheria wakifuatilia hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, uzinduzi huo uliyofanyika katika viwanja vya Mtende Mkoa wa Kusini Unguja leo 10-5-2025