Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Bi. Rahma Mabrouk Masoud wa Kikundi cha “Tushirikiane Cooperative"Gombani Chakechake wakati alipoungana na Rais wa ZNZ
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Bi. Rahma Mabrouk Masoud wa Kikundi cha "Tushirikiane Cooperative"Gombani Chakechake wakati alipoungana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi wakati walipotembelea maonesho ya wajasiriamali katika hafla ya ufungaji wa Kongamano la sita la Kiswahili la Kimataifa katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba
Kongamano la Sita la Kiswahili la Kimataifa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakifuatana na Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Mhe.Simai Mohamed Said (kushoto) mara baada ya kutembelea maonesho ya wajasiriamali katika hafla ya ufungaji wa Kongamano la sita la Kiswahili la Kimataifa katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Bi. Rahma Mabrouk Masoud wa Kikundi cha "Tushirikiane Cooperative"Gombani Chakechake wakati alipoungana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi wakati walipotembelea maonesho ya wajasiriamali katika hafla ya ufungaji wa Kongamano la sita la Kiswahili la Kimataifa katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (kulia) wakipata maelezo kutoka kwa Ndg,Mtumwa Rashid Khamis wa Kikundi cha Bopwe vegetable&Fruit; Pruduct Wete alipotembelea maonesho ya wajasiriamali katika hafla ya ufungaji wa Kongamano la sita la Kiswahili la Kimataifa katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea zawadi ya Mkoba wa asili kutoka kwa Katiu Mtendaji wa araza la Kiswahili (BAKIZA) Dr. Mwanahija Ali Juma wakati alipotembelea maonesho ya wajasiriamali katika hafla ya ufungaji wa Kongamano la sita la Kiswahili la Kimataifa katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea zawadi ya Asali kutoka kwa Bw.Khamis Salum Masoud wa Kikundi cha Jukunum cha Wete Pemba alipotembelea maonesho ya wajasiriamali katika hafla ya ufungaji wa Kongamano la sita la Kiswahili la Kimataifa katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (kulia) wakipata maelezo kutoka kwa Bi. Rahma Mabrouk Masoud wa Kikundi cha "Tushirikiane Cooperative" Gombani Chakechake alipotembelea maonesho ya wajasiriamali katika hafla ya ufungaji wa Kongamano la sita la Kiswahili la Kimataifa katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea baadhi ya vitabu kutoka kwa Ndg, Mwandika Petter Mfuko Jasili Tanzania alipotembelea maonesho ya wajasiria mali katika Kongamano la sita la Kiswahili la Kimataifa lililofungwa katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.
Kongamano la Sita la Kiswahilia Kimataifa.
Viongozi na Washiriki mbali mbali wakiwa katika Kongamano la Sita la Kiswahili la Kimataifa lililofungwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa hutuba yake leo katika Kongamano la sita la Kiswahili la Kimataifa lililofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.

Viongozi na Washiriki mbali mbali wakiwa katika Kongamano la Sita la Kiswahili la Kimataifa lililofungwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.

Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Hussein Mwinyi amewasili kisiwani Pemba 17 Disemba,2022.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Pemba leo akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (kulia) wakati wa mapokezi yake kwa ajili ya kuwashukuru Wananchi na wanaCCM kisiwani humo kwa kuchaguliwa kwake katika Mkutano Mkuu wa Taifa wa 10, kushika nafasi hiyo ya juu katika Chama cha Mapinduzi CCM.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akivalishwa skafu katika mapokezi maalum mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Pemba leo kwa ajili ya kuwashukuru Wananchi na wanaCCM kisiwani humo kwa kuchaguliwa kwake katika Mkutano Mkuu wa Taifa wa 10, kushika nafasi hiyo ya juu katika Chama cha Mapinduzi CCM.
Baadhi ya Wananchama wa CCM na wananchi waliojipanga pembezoni mwa Barabara wakiwa katika mapokezi wakati Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitokea uwanja wa ndege wa Pemba kuelekea viwanja vya Tibir inzi ambako atazungumza na kutoa shukurani zake kwa kuchaguliwa kwake katika Mkutano Mkuu wa Taifa wa 10, kushika nafasi hiyo ya juu katika Chama cha Mapinduzi CCM.
Vijana wa UVCCM Tawi la Kichungwani Chakechake na Jimbo la Chonga linalompongeza Dk.Mwinyi "Hakika wewe ni Kiongozi Jasiri,Hongera CCM" ambapo walifuatana na masfara wa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi leo wakati wa mapokezi yake kwa WanaCCM na Wananchi wa Mikoa ya Pemba alipofika kuwashukuru Kisiwani humo kwa kuchaguliwa kwake katika Mkutano Mkuu wa Taifa wa 10, kushika nafasi hiyo ya juu katika Chama cha Mapinduzi CCM.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar pia Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwapungia mkono wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wa Mikoa ya Pemba waliofika kumlaki katika maeneo mbali mbali ya Wilaya ya Chake chake Pemba leo alipofika kuwashukuru Wananchi na wanaCCM kisiwani humo kwa kuchaguliwa kwake katika Mkutano Mkuu wa Taifa wa 10, kushika nafasi hiyo ya juu katika Chama cha Mapinduzi CCM.

Viongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa wakiwa katika mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Pema leo kwa ajili ya kuwashukuru Wananchi na wanaCCM kisiwani humo kwa kuchaguliwa kwake katika Mkutano Mkuu wa Taifa wa 10, kushika nafasi hiyo ya juu katika Chama cha Mapinduzi CCM
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Pemba leo akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (kulia) wakati wa mapokezi yake kwa ajili ya kuwashukuru Wananchi na wanaCCM kisiwani humo kwa kuchaguliwa kwake katika Mkutano Mkuu wa Taifa wa 10, kushika nafasi hiyo ya juu katika Chama cha Mapinduzi CCM.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Pemba leo akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (kulia) wakati wa mapokezi yake kwa ajili ya kuwashukuru Wananchi na wanaCCM kisiwani humo kwa kuchaguliwa kwake katika Mkutano Mkuu wa Taifa wa 10, kushika nafasi hiyo ya juu katika Chama cha Mapinduzi CCM.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (katikati) pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Adalla Juma Sadala (Mabodi).wakifuatana mara baada yakuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Pemba leo wakati wa mapokezi yake kwa ajili ya kuwashukuru Wananchi na wanaCCM kisiwani humo kwa kuchaguliwa kwake katika Mkutano Mkuu wa Taifa wa 10, kushika nafasi hiyo ya juu katika Chama cha Mapinduzi CCM
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu ya CD ya Utenzi na Nyimbo za kupiga vita Rushwa na Uhujumu wa Uchumi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu ya CD ya Utenzi na Nyimbo za kupiga vita Rushwa na Uhujumu wa Uchumi, na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar .Mhe.Haroun Ali Suleiman, wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu, yaliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Unguja leo 16-12-2022.