Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amewapongeza Wanafunzi wa Kidatu Cha Nne Na Sita Zanzibar kwa Kufaulu Vizuri Mitihani yao ya Taifa.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimpongeza na kumkabidhi zawadi Mwanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya FEZA Zanzibar Hassan Hafidh Ussi, kwa kufanya vizuri Mtihani wake wa Taifa wa Kidatu cha Sita 2023 kwa kupata Daraja la Kwanza , wakati wa hafla maalum aliyowaandalia kwa ajili ya kuwapongeza na kujumuika nao katika Chakula Maalum alichowaandalia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-11-2023 na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi
BAADHI ya Wanafunzi wa Skuli za Sekondari Zanzibar za binafsi na Serikali wakiwa na zawadi zao walizokabidhiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakati wa hafla maalum ya kuwapongeza kwa kufaulu vizuri Mitihani yao ya Taifa, na kujumuika nao katika hafla maalum ya chakula alichowaandalia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-11-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya kuwapongeza Wanafunzi wa Kidatu cha Nne na Sita wa Skuli za Sekondari Zanzibar, waliofanya vizuri Mitihani yao ya Taifa na kufuuli kwa Daraja la Kwanza, wakati hafla maalum aliyowaandaliwa katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar 12-11-2023 na kujumuika nao katika chakula maalum alichowandalia
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya kuwapongeza Wanafunzi wa Kidatu cha Nne na Sita wa Skuli za Sekondari Zanzibar, waliofanya vizuri Mitihani yao ya Taifa na kufuuli kwa Daraja la Kwanza, wakati hafla maalum aliyowaandaliwa katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-11-2023 na kujumuika nao katika chakula maalum alichowandalia
WANAFUNZI wa Kidatu cha Nne 2022 na wa Kidatu cha Sita 2023 wa Skuli mbalimbali za Sekondari Zanzibar za Serikali na Binafsi, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya kuwapongeza kwa kufanya vizuri Mitihani yao ya Taifa na kupata Daraja la Kwanza, na kujumuika nao katika chakula maalum alichowaandalia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-11-2023
WALIMU wa Skuli za Sekondar Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya kuwapongeza Wanafunzi wa Kidatu cha Nne 2022 na wa Kidatu cha Sita 2023 kwa kufanya vizuri Mitihani yao ya Taifa na kupata Daraja la Kwanza, wakati wa hafla maalum ya kuwapongeza na kujumuika nao katika chakula maalum alichowaandalia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-11-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwahutubia katika hafla ya kuwapongeza Wanafunzi wa Kidatu cha Nne na Sita wa Skuli za Sekondari Zanzibar, waliofanya vizuri Mitihani yao ya Taifa na kufuuli kwa Daraja la Kwanza, wakati hafla maalum aliyowaandaliwa katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-11-2023 na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi , na kujumuika nao katika chakula maalum alichowandalia
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwatunza Wanafunzi Aisha na Khadija wakisoma Utenzi maalum wa kuwapongeza Wanafunzi wa Kidatu cha Nne na Sita kwa kufaulu vizuri katika Mitihani yao ya Taifa na kupata Daraja la Kwanza wakati wa hafla ya chakula maalum kilichoandaliwa kwa ajili yao katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-11-2023
WANAFUNZI wa Kidatu cha Nne 2022 na wa Kidatu cha Sita 2023 wa Skuli mbalimbali za Sekondari Zanzibar za Serikali na Binafsi, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya kuwapongeza kwa kufanya vizuri Mitihani yao ya Taifa na kupata Daraja la Kwanza, na kujumuika nao katika chakula maalum alichowaandalia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-11-2023.
WALIMU wa Skuli za Sekondar Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya kuwapongeza Wanafunzi wa Kidatu cha Nne 2022 na wa Kidatu cha Sita 2023 kwa kufanya vizuri Mitihani yao ya Taifa na kupata Daraja la Kwanza, wakati wa hafla maalum ya kuwapongeza na kujumuika nao katika chakula maalum alichowaandalia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-11-2023
Ufunguzi wa Taasisi ya Madras (IIT) Kampasi ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea tunzo kutoka kwa Balozi wa India Nchini Mhe.Binaya Srikanta Pradhan (kulia) wakati wa hafla ya ufunguzi wa Taasisi ya Teknolojia ya Madras (IIT) Kampasi ya Zanzibar katika kijiji cha Fumba Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amekutana na kuzungumza na Balozi wa Astralia Nchini Tanzania Luke Williams Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Australia Nchini Tanzania Mhe. Luke Williams, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Australia Nchini Tanzania Mhe. Luke Williams, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Balozi wa Australia Nchini Tanzania Mhe.Luke Williams (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 6-11-2023 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya mlango wa Zanzibar mgeni wake Balozi wa Australia Nchini Tanzania Mhe.Luke Williams, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Masuala ya Bahari na Uvuvi wa Umoja wa Ulaya Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Mkurugenzi Mkuu wa Masuala ya Bahari na Uvuvi wa Umoja wa Ulaya Bi.Charlina Vitcheva, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Umoja wa Ulaya ukiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Masuala ya Bahari na Uvuvi wa Umoja wa Ulaya Bi. Charlina Vitcheva (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Mkurugenzi Mkuu wa Masuala ya Bahari na Uvuvi wa Umoja wa Ulaya Bi.Charlina Vitcheva (kulia kwa Rais) akiwa na Ujumbe wake, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Masuala ya Bahari na Uvuvi wa Umoja wa Ulaya Bi.Charlina Vitcheva alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na ujumbe wake kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
SWALA YA IJUMAA MASJID NOOR KOMBENI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) akiagana na Katibu Mtendaji Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume baada ya kumalizika kwa ibada ya swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo katika Masjid Noor Kombeni Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharib
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi alipowasili katika Masjid Noor Kombeni wilaya ya Magharibi "B" leo akishiriki ibada ya Swala ya Ijumaa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) akisalimiana na Waumini wa shehia ya Kombeni baada ya kumalizika kwa ibada ya swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo katika Masjid Noor Kombeni Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi
Waumini mbali mbali waki Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa nasaha zake mara baada ya ibada ya swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo katika Masjid Noor Kombeni Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi(wa pili kulia) na Waumini wakiitikia dua iliyoombwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (wa tatu kulia) baada ya kumalizika kwa ibada ya swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo katika Masjid Noor Kombeni Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akitoa nasaha zake kwa Waumini wa mara baada ya ibada ya swala ya Ijumaa iliyoswaliwa katika Masjid Noor Kombeni Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi