Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akizungumza na Vijana kwa Njia ya Mtandao wakati wa Mkutano Mkuu Kivuli wa Umoja wa Mataifa katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar,
21 Dec 2021
209
Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi ameongoza mamia ya Wananchi katika maziko ya aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Mpendae Nd.Issa Kassim (Baharia).
20 Dec 2021
228
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akielekea katika Bandari ya boti za abiria wanaotokea Dar es Salaam kwa ajili ya kuupokea Mwili wa Marehemu Issa Kassim
18 Dec 2021
147
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amewasili Mkoani Dodoma.
17 Dec 2021
133
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameufunga Mkutano wa Wadau wa Vyama vya siasa nchini katika ukumbi wa Hazina Dodoma.