Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na msaidizi wa Waziri Mkuu katika masuala ya Biashara Bw. Lord Wanley Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake (kulia kwa Rais) Msaidizi wa Waziri Mkuu wa Uingereza katika Masuala ya Biashara Bw.Lord Wanley akiwa na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania Mhe David Concar,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 20-4-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Msaidizi wa Waziri Mkuu wa Uingereza katika Masuala ya Biashara Bw.Lord Wanley, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 20-4-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania Mhe.David Concar na (kulia kwa Rais) Msaidizi wa Waziri Mkuu wa Uingereza katika Masuala ya Biashara.Bw.Lord Wanley, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 20-4-2022.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na kikosi kazi cha Rais Samia Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wajumbe wa Kikosi Kazi cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan cha Kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Tanzania, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 20-4-2022.

WAJUMBE wa Kikosi Kazi cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan cha Kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Tanzania, wakipiga makofi wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na Wajumbe hao katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 20-4-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wajumbe wa Kikosi Kazi cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan cha Kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Tanzania, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 20-4-2022
WAJUMBE wa Kikosi Kazi cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan cha Kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Tanzania kikiongozwa na Mwenyekiti wake Professa Rwekaza Mukandala.(hayupo pichani) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na Wajumbe wa Kikosi Kazi walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu.
WAJUMBE wa Kikosi Kazi cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan cha Kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Tanzania kikiongozwa na Mwenyekiti wake Professa Rwekaza Mukandala.(hayupo pichani) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na Wajumbe wa Kikosi Kazi walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu.
WAJUMBE wa Kikosi Kazi cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan cha Kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Tanzania, wakipiga makofi wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na Wajumbe hao katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 20-4-2022.
MWENYEKITI wa Kikosi Kazi cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan cha Kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Tanzania Profesa Rwekaza Mukandala akizungumza na kutowa maelezo wakati wa mazungumzo yao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 20-4-2022.
WAJUMBE wa Kikosi Kazi cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan cha Kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Tanzania kikiongozwa na Mwenyekiti wake Professa Rwekaza Mukandala.(hayupo pichani) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na Wajumbe wa Kikosi Kazi walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amelifungua Kongamano la Pili la Madaktari na wahudumu wa Afya lililofanyika leo ukumbi wa chuo cha Utalii Maruhubi Zanzibar.
PROFESA Mussa Assad akizungumza na kutoa Mada kuhusiana na Dhima ya Kutoa Huduma Kwa Jamii , wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Pili la Madaktari na Wahudumu wa Afya, lililfanyika katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Zanzibar lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi leo 16-4-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamano la Pili la Madaktari na Wahudumu wa Afya lililofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Unguja Jijini Zanzibar, lililoandaliwa na Taasisi ya Jamiyyatul Akhlaqul Islaamia (JAI) na kuwashirikisha Madaktari. Wauguzi,watoa huduma ya Afya na Masheikh.
WAZIRI wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kulifungua Kongamano la Pili la Madaktari na Wahudumu wa Afya, lililoandaliwa na Taasisi ya Jamiyyatul Akhlaqul Islaamia (JAI) lililofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Unguja Jijini Zanzibar leo 16-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamano la Pili la Madaktari na Wahudumu wa Afya lililofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Unguja Jijini Zanzibar, lililoandaliwa na Taasisi ya Jamiyyatul Akhlaqul Islaamia (JAI) na kuwashirikisha Madaktari. Wauguzi,watoa huduma ya Afya na Masheikh.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamano la Pili la Madaktari na Wahudumu wa Afya lililofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Unguja Jijini Zanzibar, lililoandaliwa na Taasisi ya Jamiyyatul Akhlaqul Islaamia (JAI) na kuwashirikisha Madaktari. Wauguzi,watoa huduma ya Afya na Masheikh.
Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na wananchi wa Chaani Unguja katika sala ya Ijumaa iliyofanyika Msikiti Mweupe.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Kijiji cha Chaani Mkoa wa Kusini Unguja baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti Mweupe Chaani leo 15-4-2022
WANANCHI wa Kijiji cha Chaani Mkoa wa Kusini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia Wananchi baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti Mweupe Chaani Unguja leo 15-4-2022.
WANANCHI wa Kijiji cha Chaani Mkoa wa Kusini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akitowa nasaha zake kwa Wananchi baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti Mweupe Chaani leo 15-4-2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Wazee wa Baraza la Wazee wa CCM Kisiwani Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa Chama Cha Mapinduzi Pemba Bw. Mohammed Abass Mselem, wakati wa mkutano huo wa Wazee uliofanyika katika ukumbi wa jengo la ZSSF Tibirinzi Chakechake Pemba leo 13-4-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wazee wa Baraza la Wazee wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Pemba, mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa jengo la ZSSF Tibirinzi Chakechake Pemba.

KATIBU wa Baraza la Wazee wa Chama Cha Mapinduzi Pemba Bw.Abdalla Yussuf Ali akisoma na kuwasilisha taarifa ya Wazee wa Baraza la CCM, wakati wa mkutano wao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa ZSSF Tibirinzi Chake Chake Pemba 13-4-2022.