Rais wa Zanzibar Alhajj Dk.Hussein Mwinyi amejumuika na Wananchi katika sala ya Ijumaa Msikiti Mkuu wa Ijumaa Malindi Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa Dini ya Kiislamu, baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo 24-1-2025, katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Malindi Wilaya ya Mjini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi,baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo 24-1-2025, katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Malindi Wilaya ya Mjini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Imamu Mkuu wa Msikiti Mkuu wa Ijumaa Malindi Sheikh. Salum Hemed Salum, alipowasili katika viwanja vya msikiti huo kwa ajili ya Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo 24-1-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi(kulia kwa Rais) baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Malindi Wilaya ya Mjini Unguja leo 24-1-2025 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa Dini ya Kiislamu, baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo 24-1-2025, katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Malindi Wilaya ya Mjini Unguja
Mgombea Mteule wa Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi amepokewa na mamia ya wananchi na Wanachama wa CCM Zanzibar.
Mgombea Mteule wa Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk , Hussein Ali Mwinyi akivishwa shada la maua wakati alipowasili katika kiwanja cha Ndege cha Abeid Amani Karume Zanzibar akitokea Dodoma alipoteuliwa Kupeperusha Bendera ya Chama hicho katika Uchaguzi Mkuu Ujao katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Uliofanyika hivi Karibuni.
Mgombea Mteule wa Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk , Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na wanachama wa chama cha Mapinduzi,wananchi pamoja na wanafunzi mbali mbali waliojipanga pembezoni mwa barabara kwa ajili ya kumlaki baada ya kutoka mjini Dodoma alipoteuliwa kugombea Urais wa zanzibar kwa mara ya pili mfululizo kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi.
Wanafunzi mbali mbali waliofika kumlaki Mgombea Urais kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi akitokea Jijini Dodoma ambapo ameteuliwa kugombea nafasi hiyo.
Wanachama wa chama cha Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika kiwnja cha ndege cha Abeid Amani Karume Zanzibar wakimlaki Mgombea Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi Zanzibar Dk Hussein Ali Mwinyi alipowasili katika kiwanja hicho akitokea jijini Dodoma ambapo amaeteuli kugombea nafasi hiyo.
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharib Unguja Mheshimiwa Idrisa Kitwana Mustafa akitoa salamu zake za Mkoa kwa Mheshimiwa rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la mapinduzi ambae pia na mgombea wa Urais wa zanzibar kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi Zanzibar hapo katika viwanja vya Kisonge Michezani zanzibar.
Mgombea Mteule wa Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk , Hussein Ali Mwinyi akiwa katika gari la wazi akiwasalimia wananchi waliofika kumpokea kando kando mwa barabara ya kutokea Uwanja wa ndege wa Abeid Amani Karume jijini Zanzibar akitokea Jijini dodoma ambapo ameteuliwa kuipeperusha bendera ya Chama cha mapinduzi kwa upande wa Zanzibar.
Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Wananchi pamoja na Viongozi mbali mbali wa chama na Serikali wakishiriki katika maadhimisho ya kilele cha Sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika katika Kiwanja cha mpira cha Gombani Kisiwani Pemba.
Makamandoo wa Jeshi la Ulinzi na Usalama wa Tanzania wakionyesha Onyesho la kudhibiti Kiongozi wa Waasi wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 61 ya mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika katika kiwanja cha michezi Gombani katika Kisiwa cha Pemba.
Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wakipita mbele ya Mgeni Rasmini Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la mapinduzi zanzibar Mheshimiwa Dk Hussein Ali Hassan Mwinyi wakati wa maadhimisho ya Sherehe za Mapinduzi matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika katika kisiwa cha Pemba Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika sherehe za Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika katika Kisiwa cha Pemba tarehe 12/01/2025
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi akipokea heshima ya kupigiwa mizinga 21 wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya sherehe za miaka 61 ya Mapinduzi Zanzibar yaliyofanyika katika kiwanja cha Mpira cha Gombani kisiwani Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi akipokea heshima ya kupigiwa mizinga 21 wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya sherehe za miaka 61 ya Mapinduzi zanzibar yaliyofanyika katika kiwanja cha Mpira cha Gombani kisiwani Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi akikagua Gwaride la Vikosi vya Ulimzi na Usalama vya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na vikosi vya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya sherehe za miaka 61 ya Mapinduzi zanzibar yaliyofanyika katika kiwanja cha Mpira cha Gombani kisiwani Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi akiwa katika gari la wazi wakati akiwasili katika Uwanja wa Gombani, Mkoa wa Kusini Pemba kushiriki kilele cha Sherehe za kutimiza Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar tarehe 12 Januari 2025 yaliyofanyika Kisiwani Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi akiwa katika gari la wazi wakati akiwasili katika Uwanja wa Gombani, Mkoa wa Kusini Pemba kushiriki kilele cha Sherehe za kutimiza Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar tarehe 12 Januari 2025. .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi akiwa katika gari la wazi wakati akiwasili katika Uwanja wa Gombani, Mkoa wa Kusini Pemba kushiriki kilele cha Sherehe za kutimiza Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar tarehe 12 Januari 2025 yaliyofanyika Kisiwani Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi akiwa katika gari la wazi huku akiwapungia mkono wananchi waliofika wakati akiwasili katika Uwanja wa Gombani, Mkoa wa Kusini Pemba kushiriki kilele cha Sherehe za kutimiza Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar tarehe 12 Januari 2025 yaliyofanyika Kisiwani Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Jengo la Tume ya Uchaguzi Zanzibar, Maisara Wilaya ya Mjini Unguja leo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Jengo la Tume ya Uchaguzi Zanzibar, Maisara Wilaya ya Mjini Unguja leo 6-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Jengo la Tume ya Uchaguzi Zanzibar, Maisara Wilaya ya Mjini Unguja leo 6-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
WANANCHI wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wakifuatilia hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Ofisi za Tume Maisara Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 6-1-2025,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na Wananchi katika viwanja vya Tume Maisara leo 6-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
WAJUMBE Wastafu wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar wakifuatilia hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Ofisi za Tume Maisara Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 6-1-2025, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipowasili katika jengo la Tume ya Uchaguzi Zanzibar wakati alipoenda kuliweka Jiwe la msingi hapo viwanja vya Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Wilaya ya Mjini Unguja,ikiwa ni shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mshauri Elekezi wa Wakala wa Majengo Zanzibar (ZBA) Ashura Simai akitowa maelezo ya michoro ya picha ya Jengo la Tume ya Uchaguzi Zanzibar, kabla ya kuweka Jiwe la Msingi la ujenzi huo, na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said,ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mshauri Elekezi wa Wakala wa Majengo Zanzibar (ZBA) Ashura Simai akitowa maelezo ya michoro ya picha ya Jengo la Tume ya Uchaguzi Zanzibar, kabla ya kuweka Jiwe la Msingi la ujenzi huo, na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
MUNEKANO wa Jengo la Tume ya Uchaguzi Zanzibar ambalo limeweka Jiwe la Msingi la ujenzi wake leo 6-1-2025 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya SSPD - Buhairan-Plan Hotel SA inayojengwa Bwejuu Mkoa wa Kusini Unguja, ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapiduzi Matukufu ya Zanzibar, uliofanyika leo 6-1-2025
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi ameweka Jiwe la Msingi Mradi wa Hoteli ya Buhairan Bwejuu Mkoa wa Kusini Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya SSPD - Buhairan-Plan Hotel SA inayojengwa Bwejuu Mkoa wa Kusini Unguja, ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapiduzi Matukufu ya Zanzibar, uliofanyika leo 6-1-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhizwa zawadi maalumu inayoelezea Miradi mbalimbali ya ZIPA, akikabidhiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa ZIPA Saleh Saad Mohamed, na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe.Shariff Ali Shariff, wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya SSPD - Buhairan-Plan Hotel SA inayojengwa Bwejuu Mkoa wa Kusini Unguja, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapiduzi Matukufu ya Zanzibar, uliofanyika leo 6-1-2025.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhizwa zawadi maalumu inayoelezea Miradi mbalimbali ya ZIPA, akikabidhiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa ZIPA Saleh Saad Mohamed, na (kushoto kwake) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe.Shariff Ali Shariff, wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya SSPD - Buhairan-Plan Hotel SA inayojengwa Bwejuu Mkoa wa Kusini Unguja, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapiduzi Matukufu ya Zanzibar, uliofanyika leo 6-1-2025
WASANII wa Kikundi cha Msondo kutoka Mkoa wa Kusini Unguja wakitowa burudani wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya SSPD - Buhairan-Plan Hotel SA inayojengwa Bwejuu Mkoa wa Kusini Unguja, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapiduzi Matukufu ya Zanzibar, uliofanyika leo 6-1-2025.
WANANCHI wa Mkoa wa Kusini na Wageni waalikwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na Wananchi wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya SSPD - Buhairan-Plan Hotel SA inayojengwa Bwejuu Mkoa wa Kusini Unguja, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapiduzi Matukufu ya Zanzibar, uliofanyika leo 6-1-2025
WANANCHI wa Mkoa wa Kusini na Wageni waalikwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na Wananchi wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya SSPD - Buhairan-Plan Hotel SA inayojengwa Bwejuu Mkoa wa Kusini Unguja, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapiduzi Matukufu ya Zanzibar, uliofanyika leo 6-1-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya SSPD - Buhairan-Plan Hotel SA inayojengwa Bwejuu Mkoa wa Kusini Unguja leo 6-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Ayuob Mohammed Mahmoud na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Said Ahmed
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya SSPD - Buhairan-Plan Hotel SA inayojengwa Bwejuu Mkoa wa Kusini Unguja leo 6-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Ayuob Mohammed Mahmoud na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Said Ahmed
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akielekea katika eneo lililoandaliwa kwa ajili ya kuzungumza na Wananchi, baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa ujenzi wa Hoteli ya SSPD- Buhairan-Plan Hotel SA inayojengwa Bwejuu Mkoa wa Kusini Unguja (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe.Shariff Ali Shariff, uzinduzi huo uliyofanyika leo 6-1-2025 ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakipata maelezo ya Mradi wa ujenzi wa Hoteli ya SSPD- Buhairan-Plan Hotel SA, inayojengwa Bwejuu kutoka kwa Meneja Mradi huo Bahaaedin Abdelmonem, wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Hoteli hiyo uliofanyika leo 6-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Muwakilishi wa Familia ya Kifalme ya Abu Dhabi Dr.Mohammed Bin Omar na Meneja Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya SSPD- Buhairan-Plan Hotel SA. Bahaaedin Abdelmonem, alipowasili katika viwanja vya mradi huo kwa ajili ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Hoteli hiyo inayojengwa Bwejuu Mkoa wa Kusini Unguja leo 6-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.