State House Blog

Ufunguzi wa Ijitimai ya Kimataifa Kijiji cha Kidoti Mkoa wa Kaskazini Unguja.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi(kulia) alipokuwa akiwapungia mkono waumini wa Dini ya Kiislamu baada ya kutoa hutuba yake ya ufunguzi wa Ijitimai ya Kimataifa aliyoifungua leo katika Masjid Fiysabillah Tabligh Markaz Zanzibar Kidoti Wilaya ya Kaskazini "A" Mkoa wa Kaskazini Unguja.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa Ijitimai ya Kimataifa leo kwa waumini wa Dini ya Kiislamu (hawapo pichani) inayofanyika katika Masjid Fiysabillah Tabligh Markaz Zanzibar,Kidoti Wilaya ya Kaskazini "A" Mkoa wa Kaskazini Unguja.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia aliyesimama) alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa Ijitimai ya Kimataifa kwa waumini wa Dini ya Kiislamu inayofanyika katika Masjid Fiysabillah Tabligh Markaz Zanzibar,Kidoti Wilaya ya Kaskazini "A" Mkoa wa Kaskazini Unguja.
  • Waumini wa Dini ya Kiislamu na Wananchi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa Ijitimai ya Kimataifa aliyoifungua katika Masjid Fiysabillah Tabligh Markaz Zanzibar,Kidoti Wilaya ya Kaskazini "A" Mkoa wa Kaskazini Unguja.
  • Waumini wa Dini ya Kiislamu na Wananchi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa Ijitimai ya Kimataifa aliyoifungua katika Masjid Fiysabillah Tabligh Markaz Zanzibar,Kidoti Wilaya ya Kaskazini "A"
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Dini alipowasili katika Masjid Fiysabilillahi Tabligh Markaz Zanzibar Kidoti Mkoa wa Kaskazini Unguja kwa ajili ya ufunguzi wa Ijitimai ya Kimataifa 2021, inayofanyika leo 22-10-2021, katika Markaz hiyo na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe Ayoub Mohammed Mahmoud

Rais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Wakurugenzi Wakuu wa Mifuko ya Huduma Tanzania

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(katikati) akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Wakurugenzi Wakuu wa Mifuko ya Hifadhi ya Huduma za jamii Tanzania Bara na Zanzibar (kushoto pichani) walipofika kusalimiana nae Ikulu jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Wakurugenzi Wakuu wa Mifuko ya Hifadhi ya Huduma za jamii Tanzania Bara na Zanzibar (kushoto pichani) walipofika kusalimiana nae Ikulu jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Mnadhimu Mkuu wa Jwtz Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Luteni Jenerali Mathew Edward Mkingule,alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 21-10-2021,mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Luteni Jenerali Mathew Edward Mkingule, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Luteni Jenerali Mathew Edward Mkingule,alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha

Rais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi leo amewaapisha Viongozi aliowateuwa.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Jaji Khamis Ramadhan Abdalla kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa Mahkama Kuu Zanzibar katika hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Balozi Masoud Abdalla Balozi kuwa Katibu wa Rais wa zanzibar -Ofisi ya Rais - Ikulu hafla iliyofanyika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Capt. Khatib Khamis Mwadini kuwa Naibu Mkuu wa Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo (KMKM) wakati wa hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Viongozi walioteuliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi wakiangalia hati za Viapo vyao kabla kuapishwa rasmi katika hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akiwa amesimama na Viongozi wengine wakati Wimbo wa Taifa ukipigwa na Kikundi cha Brass Band cha Jeshi la Polisi katika hafla ya kuapishwa Viongozi aliowateuwa hivi karibu kushika nafasi mbali mbali za Uongozi hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman (kulia)Abdulla,Spika wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar Mhe.Zubeir Ali Maulid pamoja na Viongozi wengine ni miongoni mwa Viongozi waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Viongozi walioteuliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza wa Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi hivi karibuni katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam Katika Maulidi ya Kuzaliwa Mtume Muhammad S.A.W.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziA lhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitia ubani kuashiria kuaza kwa Maulid ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana usiku 18-10-2021 katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman.
  • WANAFUNZI kutoka Madrassatul Noor Ul Huda ya Fuoni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja wakisoma Qswida ya kumsalia Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika katika jana usiku katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa katika kisimamo cha Qiyaam na kumsalia Mtume Muhammad SAW, wakati wa hafla ya Maulidi ya kusherehekea kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika jana usiku katika uwanja wa Maisara Suleiman na (kulia kwake) Mke wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mama Zuhura Kassim Ali na (kushoto kwake) Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Sharifa Omar Khalfan na Mke wa Makamu wa Kwanza Mama Zainab Kombo Shaib.
  • WAUMINI wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakijumuika katika hafla ya Maulidi ya kusherehekea kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika jana usiki 18-10-2021 katika viwanja vya Maisara Suleiman,Wilaya ya Mjini Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitia ubani kuashiria kuaza kwa Maulid ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana usiku 18-10-2021 katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja. na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitia ubani kuashiria kuaza kwa Maulid ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana usiku 18-10-2021 katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.