RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AKABIDHIWA KADI YA KWANZA YA ATM YA CRDB AL- BARAKAH YA BENKI YA CRDB IKULU ZANZIBAR
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Kadi ya Kwanza ya ATM ya CRDB Al- Barakah Benki na Meneja Kanda ya Mashariki Benki ya CRDB Ndg.Badru Idd, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-9-2023 na (kulia kwake) Mkuu wa Kitengo cha Islamic Banking Ndg.Rashid Rashid na Mjumbe wa Bodi ya Benki ya CRDB Ndg.Juma Amour
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Meneja wa Kanda ya Mashariki Benki ya CRDB Ndg.Badru Idd, baada ya kumalizika kwa hafla ya kumkabidhi Kadi ya Kwanza ya ATM ya CRDB Al- Barakah Benki , hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-9-2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Kadi ya Kwanza ya ATM ya CRDB Al- Barakah Benki na Meneja Kanda ya Mashariki Benki ya CRDB Ndg.Badru Idd, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-9-2023 na (kulia kwake) Mkuu wa Kitengo cha Islamic Banking Ndg.Rashid Rashid na Mjumbe wa Bodi ya Benki ya CRDB Ndg.Juma Amour
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Meneja Kanda ya Mashariki Benki ya CRDB Ndg. Badru Idd akizungumza na kuutambulisha ujumbe aliofuatana nao, kwa ajili ya kumkabidhi Kadi ya Kwanza ya ATM ya CRDB Al- Barakah Benki, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-9-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Kadi ya Kwanza ya ATM ya CRDB Al- Barakah Benki na Meneja Kanda ya Mashariki Benki ya CRDB Ndg.Badru Idd, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-9-2023 na (kulia kwake) Mkuu wa Kitengo cha Islamic Banking Ndg.Rashid Rashid na Mjumbe wa Bodi ya Benki ya CRDB Ndg.Juma Amour.
MKUU wa Kitengo cha Huduma za Benki Zinazofuata Misingi ya Sheria Benki ya CRDB (Islamic Banking)Ndg. Rashid Rashid, akizungumza kuhusiana na Akaunti ya Al- Barakah, wakati wa hafla ya kukabidhiwa Kadi ya Kwanza ya ATM ya CRDB Al -Barakah Benki. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-9-2023
MAZIKO YA ALIYEKUWA MWENYEKITI WA CCM WILAYA YA KUSINI UNGUJA
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Said Mohamed Dimwa (kulia) pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Hadid Rashid Hadid wakitoka kutoa mkono wa pole kwa Familia ya Marehemu Mgana Zidi Khamis aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja leo katika Kijiji cha Paje .
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Said Mohamed Dimwa pamoja na Viongozi wengine leo alipowasili Kijiji cha Paje,Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja Kushiriki maziko ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kusini Marehemu Mgana Zidi Khamis
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wan ne kulia) akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika kumswalia Marehemu Mgana Zidi Khamis aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kusini katika Msikiti Mkuu wa Kijiji hicho
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi( katikati) akitia udongo kuzika mwili wa Marehemu Mgana Zidi Khamis aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja huko kijijini kwao Paje
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Hadid Rashid Hadid alipofika viwanja vya Msikiti Mkuu wa Paje akishiriki maziko ya Marehemu Mgana Zidi Khamis aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja Kijijini Paje
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi(wa pili kushoto) alipofika Kijiji cha Paje Nyumbani kwa Marehemu Mgana Zidi Khamis aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja (kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Hadid Rashid Hadid (kushoto kwa Rais )Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume.
RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AHUTUBIA JUKWAA LA MIFUMO YA CHAKULA BARANI AFRIKA
BAADHI ya Mawaziri wa SMZ na SMT wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza katika Mkutano wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Barani Afrika kwa mwaka 2023, uliofanyika katika ukumbi wa Ruaha jingo la Kituo cha Mikutano ya Kimataifa la Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo 7-9-2023
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Rais wa Jumuiya ya Mapinduzi ya Kijani Barani Afrika ( AGRA) Dkt. Agnes Kalibata.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akifuatilia Mkutano wa Kimataifa Unaojadili Mfumo wa Chakula,unaofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo 6-9-2023, na (kulia kwake) Waziri wa Maendeleo anayeshuhulikia Masuala ya Kimataifa wa Norway Mhe.Anne Beathe Tvinnereim na (kushoto kwake) Rais wa Jumuiya ya Mapinduzi ya Kijani Barani Afrika ( AGRA) Dkt.Agnes Kalibata
WASHIRIKI wa Mkutano wa Kimataifa Unaojadili Mfumo wa Chakula, wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza wakati wa mkutano mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo 6-9-2023

MKE wa Rais wa Zanzibar.Mama Mariam Mwinyi akizungumza na kutoa Mada juu ya nafasi ya Mwanamke katika Kilimo, wakati wa Mkutano wa Jukwaa la Mfumo wa Chakula Barani Afrika kwa mwaka 2023(AGRF) linalofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo 6-9-2023

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akifuatilia Mkutano wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Barani Afrika kwa mwaka 2023 (AGRF) unaofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo 6-9-2023, na (kulia kwake) Waziri wa Maendeleo anayeshuhulikia Masuala ya Kimataifa Norway Mhe.Anne Beathe Tvinnereim
MKE wa Rais wa Zanzibar.Mama Mariam Mwinyi akizungumza na kutoa Mada juu ya nafasi ya Mwanamke katika Kilimo, wakati wa Mkutano wa Jukwaa la Mfumo wa Chakula Barani Afrika kwa mwaka 2023(AGRF) linalofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo 6-9-2023
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akifuatilia Mkutano wa Kimataifa Unaojadili Mfumo wa Chakula,unaofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo 6-9-2023, na (kulia kwake) Waziri wa Maendeleo anayeshuhulikia Masuala ya Kimataifa wa Norway Mhe.Anne Beathe Tvinnereim na (kushoto kwake) Rais wa Jumuiya ya Mapinduzi ya Kijani Barani Afrika ( AGRA) Dkt.Agnes Kalibata
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Rais wa Jumuiya ya Mapinduzi ya Kijani Barani Afrika ( AGRA) Dkt. Agnes Kalibata, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi mdogo wa jengo la Mikutano la Kimataifa la Julius Nyerere Jijini Dar es Salaamu, kabla ya kuaza kwa Mkutano wa Jukwaa la Mifumo ya chakula Barani Afrika kwa mwaka 2023 (AGRF) uliyofanyika 6-9-2023 katika ukumbi huo
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,Uratibu na Bunge) Mhe. Ummy Nderiananga na Rais wa Jumuiya ya Mapinduzi ya Kijani Barani Afrika (AGRA) Dkt. Agnes Kalibata, alipowasili katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaamu kuhudhuria Mkutano wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Barani Afrika kwa mwaka 2023 (AGRF) lililofanyika 6-9-2023, katika ukumbi huo
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Rais wa Jumuiya ya Mapinduzi ya Kijani Barani Afrika ( AGRA) Dkt. Agnes Kalibata, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi mdogo wa jengo la Mikutano la Kimataifa la Julius Nyerere Jijini Dar es Salaamu, kabla ya kuaza kwa Mkutano wa Jukwaa la Mifumo ya chakula Barani Afrika kwa mwaka 2023 (AGRF) uliyofanyika 6-9-2023 katika ukumbi huo
KUKABIDHI VYETI VYA URAIA WA TANZANIA KWA TAJNISI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi,akimkabidhi cheti Bi.Halima Idarous Adnan mwenye Asili ya Comoro,mkaazi wa Vikokotoni Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi wakati wa hafla ya kukabidhi vyeti vya Uraia wa Tanzania kwa Tajnisi, leo katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi,akimkabidhi cheti Ndg.Karan Mohamed Ali, mwenye Asili ya Comoro ,Mkaazi wa Kisimamajongoo Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi wakati wa hafla ya kukabidhi vyeti vya Uraia wa Tanzania kwa Tajnisi, leo katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi,akimkabidhi cheti Bw.Mohamed Mzee Mbaba mwenye Asili ya Comoro ,Mkaazi wa Mkunazini Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi wakati wa hafla ya kukabidhi vyeti vya Uraia wa Tanzania kwa Tajnisi, leo katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.

Baadhi ya Wananchi wenye Asili kutoka Nchini Msumbiji,Comoro,Burundi na Ruanda wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa hafla ya kukabidhi vyeti vya Uraia wa Tanzania kwa Tajnisi, katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi,alipokuwa akitoa hutuba yake leo kwa wananchi na waalikwa mbali mbali katika hafla ya kukabidhi vyeti vya Uraia wa Tanzania kwa Tajnisi, katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
Baadhi ya Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya kukabidhi vyeti vya Uraia wa Tanzania kwa Tajnisi, katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitao hutuba yake

Maafisa wa Jeshi la Uhamiaji Tanzania wakiwa katika hafla ya kukabidhi vyeti vya Uraia wa Tanzania kwa Tajnisi, leo katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar,Mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)