State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk Husseina Ali Mwinyi amehudhuria kikao cha Kamati Kuu ya Ccm na kusaini kitabu cha maombolezi Afisi za CCM Lumumba

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisaini kitabu cha maombolezi ya Hayati Dkt. John Pombe Magufu, aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania alipowasili katika Afisi ya CCM mtaa wa Lumumba kuhudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya CCM Taifa
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisaini kitabu cha maombolezi ya Hayati Dkt. John Pombe Magufu, aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania alipowasili katika Afisi ya CCM mtaa wa Lumumba kuhudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya CCM Taifa
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr, Abdalla Juma Sadala Mabodi na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara. Ndg. Rodrick Mpogoro, alipowasili katika viwanja vya Afisi ya CCM Lumumba kuhudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashuri Kuu ya CCM Taifa

Rais wa Zanzibar amehudhuria hafla ya kuapishwa Rais wa Tanzania Ikulu Dar Es Salaam

  • RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua gwaride maalum la JWTZ baada ya kupokea Salamu ya heshima katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam
  • RAIS Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa baada ya kumalizika kwa hafla ya kuapishwa katika ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam leo 19-3-2021 na (kulia kwake) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi na Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa
  • RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa baada ya kumalizika kwa hafla ya kuapishwa katika ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam na (kulia kwake) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi,Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge la Tanzania Mhe.Job Ndugai , Jaji Mkuu wa Tanzania MheProf. Ibrahim Hamis Juma na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Bashiru Ally
  • RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuagana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, Spika Bunge la Tanzania Mhe. Job Ndugai na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Prof Ibrahim Hamis Juma, baada ya kumaliza kuzungumza na Viongozi na wageni waalikwa baada ya kuapishwa katika ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam.
  • MARAIS Wastaaf na Wageni waalikwa wakifuatilia hutuba ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akizungumza baada ya kuapishwa katika ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam.
  • RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe.Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi na Wananchi baada ya kuapishwa katika ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk Hussein Ali Mwinyi amejumuika katika sala ya Ijumaa na Wananchi wa Nungwi Masjid Rahma Mkoa wa Kaskazini Unguja

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia na kuzungumza na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja baada ya kumaliza kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Rahma Nungwi.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia na kuzungumza na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja baada ya kumaliza kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Rahma Nungwi.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi , akisalimiana na kuagana na Wananchi baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Rahma Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua baada ya kumaliza kuzungumza na kuwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakati wa kumaliza kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika leo katika Masjid Rahma Nungwi, ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh, Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud.

Rais wa Zanzibar Dk Hussein Ali Mwinyi akishuhudia utiani wa Saini ya Maelewano (Mou) ya Ujenzi wa Bandari Mangapwani na Mji wa Kisasa Bumbwini Zanzibar

  • BAADHI ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa utiaji wa Saini ya Hati ya Maelewano (MoU) kuhusu Mpango Mkuu"Master Plan " ya Ujenzi wa Bandari na Mji wa Kisasa Mangapwani na Bumbwini Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbin wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • MKURUGENZI Mkuu wa Oman Investment Authority (OIA) Bw. Sheikh.Mohammed Al Taooqi, akizungunza kabla ya kutowa maelezo mafupi ya Ujenzi wa Bandari na Mji wa Kisasa Mangapwani na Bumbwini Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • WAZIRI wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Rahma Kassim Ali, akizungumza wakati wa Utiaji Saini ya Maelewano (MoU) kuhusu Mpango Mkuu wa Ujenzi wa Bandari na Mji wa Kisasa Mangapwani na Bumbwini Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akishuhudia utiaji wa Saini ya Maelewano (MoU) kuhusu mpango mkuu wa Ujenzi wa Bandari na Mji wa Kisasa Mangapwani na Bumbwini Zanzibar.(kulia kwa Rais) Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Ndg. Amour Hamil Bakari na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mkuu wa Oman Investment Authority (OIA) Sheikh.Mohammed Al Taooqi, hafla hiyo i8mefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akishuhudia utiaji wa Saini ya Maelewano (MoU) kuhusu mpango mkuu wa Ujenzi wa Bandari na Mji wa Kisasa Mangapwani na Bumbwini Zanzibar.(kulia kwa Rais) Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Ndg. Amour Hamil Bakari na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mkuu wa Oman Investment Authority (OIA) Sheikh.Mohammed Al Taooqi, hafla hiyo i8mefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla, Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, Mwanasheria Mkuu Zanzibar.Dkt. Mwinyi Talib Haji na Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Mhe.Rahma Kassim Ali, wakifuatilia hutub ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, baada ya kumalizika zoezi la utiaji wa saini ya maelewano ya Ujenzi wa Bandari Mangapwani na Mji wa Kisasa Bumbwini Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa (wa pili kulia)

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa (wa pili kulia) mara alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzinar alipohudhuria katika kikao cha wadau wa Elimu kilichofanyika