State House Blog

Rais wa Zanzibar Alhajj Dk.Hussein Mwinyi amefungua Kongamano la Kiimani kwa Viongozi na Watendaji Wakuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Kongamano la Kiimani kwa Viongozi na Watendaji Wakuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 6-4-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Kongamano la Kiimani kwa Viongozi na Watendaji Wakuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 6-4-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Kongamano la Kiimani kwa Viongozi na Watendaji Wakuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 6-4-2024
  • MASHEIKH Waliotowa Mada katika Kongamano la Kiimani kwa Viongozi na Watendaji Wakuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati akihutubia katika Kongamano hilo ililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 6-4-2024
  • MAWAZIRI wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) na Watendaji mbalimbali wa Serikali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakati akihutubia katika Kongamano la Kiimani kwa Viongozi na Watendaji Wakuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, lililofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 6-4-2024
  • WAKUU wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati akihutubia katika Kongamano la Kiimani kwa Viongozi na Watendaji Wakuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) ililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 6-4-2024
  • SHEIKH Nourdeen Kishki akitowa Mada kuhusu Umoja na Mshikamano, wakati wa Kongamano la Kiimani kwa Viongozi na Watendaji Wakuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 6-4-2024

Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Mwinyi amejumuika na Viongozi wa CCM na Wafanyakazi wa CCM Zanzibar katika Iftar aliyowaandalia katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwa

  • MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na kuwasalimia Viongozi wa CCM na Wafanyakazi baada ya kumalizika kwa hafla ya Iftar maalum aliyowaandalia katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja iliyofanyika jana 5-4-2024
  • MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mstaafu Balozi Seif Ali Iddi, baada ya kumalizika kwa hafla ya Iftar Maalum iliyoandaliwa kwa Viongozib wa CCM na Wafanyakazi wa CCM Zanzibar, iliyofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar jana 5-4-2024
  • MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi, akijumuika na Viongozi wa CCM na Wafanyakazi wa CCM Zanzibar, katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohammed Said Dimwa,baada ya kumalizika kwa hafla ya Iftar maalum iliyofanyika katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar jana 5-4-2024.
  • MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na kuwasalimia Viongozi wa CCM na Wafanyakazi baada ya kumalizika kwa hafla ya Iftar maalum aliyowaandalia katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja iliyofanyika jana 5-4-2024
  • MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohammed Said Dimwa na Viongozi wa CCM, alipowasiliu katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar kwa ajili ya Iftar maalum aliyowaandalia Viongozi wa CCM na Wafanyakazi wa CCM Zanzibar, iliyofanyika jana 5-4-2024 katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Zanzibar
  • MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkaribisha Tende kufungulia saumu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, wakati wa hafla ya Iftar Maalum iliyoandaliwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,kwa Viongozi wa CCM na Wafanyakazi wa CCM Zanzibar, iliyofanyika jana 5-4-2024, katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.

Mashindano ya Kimataifa ya kuhidfadhi Quran Juzuu 30 uwanja wa new Amaan Cimplex Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi Maalum na Mkurugenzi Mkuu wa ZBC Ndg.Ramadhani Bukini, kwa mchango wake katika katika masuala ya Mashindano ya Quran, wakati wa Mashindano ya Kimataifa ya Afrika Mashariki ya Kuhifadhi Quran Juzuu 30, yaliyofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar leo 30-3-2024.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi wa Serikali, Masheikh, Maulamaa na Wananchi katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdullah, baada ya kumalizika kwa Mashindano ya Kimataifa ya Afrika Mashariki ya Kuhifadhi Quran Juzuu 30, yaliyofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar 30-3-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi mshindi wa Kwanza wa Mashindano ya Kimataifa ya Afrika Mashariki ya Kuhifadhi Quran Juzuu 30 Mahmoud Kassim Nassor kutoka Zanzibar (kulia kwa Rais) kwa kuibuka mshindi katika mashindano hayo kwa mwaka 2024 yaliyofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mdhamini wa mashindano hayo Alhajj Said Nassor (Bopar)
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kutowa nasaha zake kwa Wananchi na Washiriki wa Mashindano ya Kimataifa ya Afrika Mashariki ya Kuhifadhi Quran Juzuu 30, yaliyofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar leo 30-3-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi mshindi wa Kwanza wa Mashindano ya Kimataifa ya Afrika Mashariki ya Kuhifadhi Quran Juzuu 30 Mahmoud Kassim Nassor kutoka Zanzibar (kulia kwa Rais) kwa kuibuka mshindi katika mashindano hayo kwa mwaka 2024 yaliyofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mdhamini wa mashindano hayo Alhajj Said Nassor (Bopar) na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdullah
  • WANANCHI wa Jiji la Zanzibar wakifuatilia Mashindano ya Kimataifa ya Afrika Mashariki ya Kuhifadhi Quran Juzuu 30, yaliyofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar leo 30-3-2024
  • WANANCHI wa Jiji la Zanzibar wakifuatilia Mashindano ya Kimataifa ya Afrika Mashariki ya Kuhifadhi Quran Juzuu 30, yaliyofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar leo 30-3-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kutowa nasaha zake kwa Wananchi na Washiriki wa Mashindano ya Kimataifa ya Afrika Mashariki ya Kuhifadhi Quran Juzuu 30, yaliyofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar leo 30-3-2023
  • MASHEIKH na Maulamaa wakifuatilia Mashindano ya Kimataifa ya Afrika Mashariki ya Kuhifadhi Quran Juzuu 30, yaliyofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar leo 30-4-2024, wakati mashindano hayo yakiendelea katika Uwanja huo,na mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi
  • WASHIRIKI wa Mashindano wa Kimataifa ya Afrika Mashariki ya Kuhifadhi Quran Juzuu 30, wakiwa katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar wakiti wa Mashindano hayo yakiendelea, yaliyofanyika leo 30-3-2024
  • MAJAJI wa Mashindano ya Kimataifa ya Kuhifadhi Quran Juzuu 30 Afrika Mashariki, wakifuatilia washiriki wakati wakisoma Quran katika mashindano hayo,yaliyofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar leo 30-3-2024

Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amepokea mkono wa pole kwa wasanii wa Wasafi Ikulu Zanzibar.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za pole kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Wasafi Nasibu Abdul Juma almaarufu Diamond Platinumz na ujumbe wake Ikulu Mnazi Mmoja tarehe 20 Machi 2024.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalum na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Wasafi Nasibu Abdul Juma (Diamond Platinumz) baada ya kumaliza kutowa mkono wa pole kufuatia msiba wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 20-3-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Kampuni ya Wasafi ukiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Wasafi Nasibu Abdul Juma (Diamond Platinumz) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kutowa mkono wa Pole kufuatia msiba wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Kampuni ya Wasafi ukiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Wasafi Nasibu Abdul Juma (Diamond Platinumz) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kutowa mkono wa Pole kufuatia msiba wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Kampuni ya Wasafi ukiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Wasafi Nasibu Abdul Juma (Diamond Platinumz) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kutowa mkono wa Pole kufuatia msiba wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi

Rais wa Zanzibar Alhajj Dk.Hussein Mwinyi amejumuika na wanavyuoni na Mashekh katika kisomo cha Dua ya kumuombea Rais Mstaafu wa Tanzania Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi Msikiti Ngamia Welezo

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa shukrani kwa Viongozi wa Serikali,Dini na Wananchi kwa ushirikiano katika msiba wa Baba yake Mzazi Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, baada ya kumalizika kwa kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea iliyoandaliwa na Jumuiya ya Zawiyatul Qadiriya Tanzania, katika Msikiti Ngamia Welezo Wilaya ya Magharibi "A" Unguja 15-3-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa picha maalum ikimuonesha Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi alipofika hospitali kumuangalia Hayati Sheikh Muhammad Nassor Abdallah alipokua amelezwa Hospitali akipata matibabu, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa na Kisomo cha Dua cha kumuombea Rais Mstaafu wa Tanzania Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika katika Masikiti Ngamia Welezo Wilaya ya Magharibi "A" Unguja l15-3-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Masheikh, Wanavyuoni, Viongozi wa Serikali na Wananchi katika Kisomo na Dua ya kumuombea Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyoandaliwa na Jumuiya ya Zawiyatul Qadiriya Tanzania, iliyofanyika katika Msikiti Ngamia Welezo Wilaya ya Magharibi "A" Unguja leo 15-3-2024, na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Hassan Othman Ngwali na (kulia kwa Rais) Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan Abdallah na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Sheria,Katiba,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Masheikh, Wanavyuoni, Viongozi wa Serikali na Wananchi katika Kisomo na Dua ya kumuombea Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyoandaliwa na Jumuiya ya Zawiyatul Qadiriya Tanzania, iliyofanyika katika Msikiti Ngamia Welezo Wilaya ya Magharibi "A" Unguja leo 15-3-2024, na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na (kulia kwa Rais) Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan Abdallah
  • WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi na Wanavyuoni, Masheikh na Wananchi katika Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyoandaliwa na Jumuiya ya Zawiyatul Qadiriya Tanzania, iliyofanyika katika Masikiti Ngamia Welezo Wilaya ya Magharibi "A" Unguja leo 15-3-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Mlezi wa Jumuiya ya Zawiyatul Qadiriya Tanzania Sheikh.Said Othman, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa na Kisomo cha Dua ya kumuombea Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika katika Msikiti Ngamia Welezo Wilaya ya Magharibi "A" Unguja leo 15-3-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Masheikh, Wanavyuoni na Wananchi katika kuitikia dua baada ya kumalizika kwa Kisomo na Dua ya kumuombea Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika baada ya Ibada ya Sala ya Ijumaa katika Msikiti Ngamia Welezo Wilaya ya Magharibi "A"Unguja, ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (kushoto kwa Rais) na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali na (kulia kwa Rais) Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan Abdallah, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Sheria, Katiba, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman na Mlezi wa Jumuiya ya Zawiyatul Qadiriya Tanzania Sheikh Said Othman
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Masheikh, Wanavyuoni na Wananchi katika kuitikia dua baada ya kumalizika kwa Kisomo na Dua ya kumuombea Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika baada ya Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti Ngamia Welezo Wilaya ya Magharibi "A"Unguja , ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (kushoto kwa Rais) na (kulia kwa Rais) Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan Abdallah