State House Blog

Dk.Shein ameweka Jiwe la Msingi Tangi la Maji Saateni.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akielekea katika eneo lililoandaliwa kwa ajili ya kuzungumza na Wananchi na Wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji Zanzibar.(ZAWA) baada ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Tangi la Maji Saateni linalooneka nyumba, (kulia kwa Rais ) Waziri wa Ardhi Nyumba Maji na Nishati Zanzibar. Mhe.Salama Aboud Talib na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo.Ndg. Ali Halil na (kushoto kwa Rais) Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi Nyumba Maji na Nishati.Mhe. Juma Makungu Juma.
  • MUONEKANO wa Tangi la Jipya la kushamazia Maji katika Maeneo ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar likiwa limekamilika ujenzi wake na kuzinduliwa leo ikiwa ni shamra shamra za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika eneo la ujenzi huo Saateni
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa (ZAWA) Ndg.Mussa Ramadhani Haji akitowa maelezo ya Kitaalamu ya ujenzi wa Tangi la Maji Saateni Zanzibar, wakati wa hafla ya uzinduzi huo uliofanyika leo, ikiwa ni shamrashamra za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kulizindua Tangi la Maji Saateni Jijini Zanzibar ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar, (kulia kwa Rais) Waziri wa Ardhi Nyumba Maji na Nishati.Mhe.Salama Aboud Talib n (kushoto kwa Rais) Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyuma Maji na Nishati. Ndg. Ali Halil na Mkurugenzi Mkuu (ZAWA) Ndg. Mussa Ramadhan Haji.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Tangi Jipya la Maji Saateni Wilaya ya Mjini Unguja, (kulia kwa Rais) Waziri wa Ardhi Nyumba Maji na Nishati. Mhe. Salama Aboud Talib na (kushoto kwa Rais) Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba Maji na Nishati.Ndg. Ali Halil na Mkurugenzi Mkuu wa (ZAWA)Ndg. Mussa Ramadhani Haji, ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kulizindua Tangi la Maji Saateni Jijini Zanzibar ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar, (kulia kwa Rais) Waziri wa Ardhi Nyumba Maji na Nishati.Mhe.Salama Aboud Talib na(kushoto kwa Rais) Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyuma Maji na Nishati.Ndg. Ali Halil na Mkurugenzi Mkuu (ZAWA) Ndg. Mussa Ramadhan Haji.

Dk.Shein amefungua majengo ya Skuli za Sekondari tisa za Unguja na Pemba.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akikata uteke kuashiria kuzifungua Skuli Tisa za Sekondari Zanzibar zilizojengwa Unguja na Pemba, (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Mhe.Riziki Pembe Juma na (kulia kwa Rais)Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar. Mhe. Zuberi Ali Maulid.
  • MUONEKANO wa Jengo la Skuli mpya ya Sekondari ya Rahaleo Wilaya ya Mjini Unguja iliofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kwa niaba ya Skuli Tisa za Unguja na Pemba, ikiwax ni shamrashamra za Kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Rahaleo, kwa niaba ya Skuli hizo Mpya Tisa zilizojengwa Unguja na Pemba.(kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Mhe. Riziki Pembe Juma.ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mwalimu wa Somo la Sayansi wa Skuli ya Kiembe samaki.Ndg Issa Masoud akitowa maelezo, wakati Rais wakati akitembelea maabara ya Sayansi katika Skuli hiyo ya Sekondari, (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Mhe.Riziki Pembe Juma,ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi Idara ya Elimu Sekondari Bi.Asia Iddi Issa, wakati akitembelea darasa la Komputa katika Skuli hiyo baada ya kuifungua leo 5-1-2020, kwa niaba ya Skuli za Sekondari Tisa za Ungyuja na Pemba, (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar. Mhe.Riziki Pembe Juma.ikiwa ni shamrashamra za kuadshimisha Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya ufunguzi wa Jengo la Skuli Mpya ya Sekondari Rahaleo Jijini Zanzibar kwa niaba ya Skuli tisa zilizojengwa Unguja na Pemba, ikiwa ni shamra shamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Riziki Pembe Juma akizungumza wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Rahaleo Jijini Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja, ikiwa nin shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar(Picha na IKULU)
  • KATIBU Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar. Eng. Dkt.Idrisa Muslim Hija akitowa maelezo ya Kitaalam ya Ujenzi wa Skuli Tisa za Sekondari Unguja na Pemba, wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Skuli hizo uliofanywa kwa niaba ufunguzi huo umefanyika katika mmoja ya Skuli hizo ilioko Rahaleo Wilaya ya Mjini Unguja.
  • BAADHI ya Viongozi wa Serikali na Wananchi wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe,Dk. Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Skuli Tisa za Sekondari zilizojengwa Unguja na Pemba.
  • BAADHI Walimu na Wananchi wa Wilaya ya Mjini Unguja wakifuatilia hafla ya Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Rahaleo Jijini Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziMhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia ( hayupo pichani)
  • BAADHI Walimu na Wananchi wa Wilaya ya Mjini Unguja wakifuatilia hafla ya Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Rahaleo Jijini Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziMhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia (hayupo pichani)
  • VIJANA uhamasishaji wakishangilia wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Rahaleo Jijini Zanzibar kwa niaba ya Skuli Tisa mpya za Sekondari zilixzojengwa Unguja na Pemba, ikiwa ni shamra shamra za kuadhimisha Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • BAADHI Walimu na Wananchi wa Wilaya ya Mjini Unguja wakifuatilia hafla ya Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Rahaleo Jijini Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziMhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia ( hayupo pichani)
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Rahaleo, kwa niaba ya Skuli hizo Mpya Tisa zilizojengwa Unguja na Pemba.(kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Mhe. Riziki Pembe Juma.ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Dk.Shein aweka jiwe la msingi Jengo la Michezani Mall na la Sheikh Thabit Kombo Michezani

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baeraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar.Mhe.Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa, alipowasili katika viwanja vya Mradi wa Ujenzi wa Maduka ya Kisasa Michezani Mall na Jengo la Sheikh Thabit Kombo wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la jengo hilo linalojengwa na Kampuni kutoka China ya CRJE, ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi Jengo la Sheikh Thabit Kombo Michezani Jijini Zanzibar , ikiwa ni kuashimisha sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi wa Kampuni ya Ujenzi ya CRJE kutoka Nchini China, aliposiki katika viwanja vya Michezani Mall, kwa ajili ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la jengo hilo, ikiwa ni shamrashara za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein (kulia kwa Rais) Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa na (kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar.Dr. Abdalla Juma Mabodi, wakimsikiliza Meneja Mipango, Uwekezaji na Utafiti (ZSSF)Ndg. Abdulazizi Ibrahim Iddi, akitowa maelezo ya kiufungi ya jengo hilo baada uwekaji wa Jiwe la Msingo la Jengo la Sheikh Thabit Kombo michezani Muembe Kisonge Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein akiwa na Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar.Mhe.Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja. Mhe.Hassan Khatib Hassan (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar.Dr. Abdalla Juma Mabodi, wakielekea katika jengo la Sheikh Thabit Kombo kwa aajili ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Jengo hilo ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimsikiliza Meneja wa Mipango, Uwekezaji na Utafiti wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar.(ZSSF) Ndg. Abdulazizi Ibrahim Iddi akitowa maselezo ya michoro ya picha ya jengo la Michezani Mall, wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi,ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar.Mhe Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa,hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya jengo hilo michezani Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuweka jiwe la Msingi la Jengo la Michezani Mall Jijini Zanzibar, (kushoto kwa Rais) Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar.Mhe.Mohammed Ramia Abdiwawa, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya michezani Jijini Zanzibar ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduziu Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akipiga makofi baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Jengo la Sheikh Thabit Kombe Michezani Jijini Zanzibar ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar, hafla hiyo imefanyika michezani Muembe kisonge.
  • WAZIRI wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.BaloziMohammed Ramia Abdiwawa akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kuwahutubia Wananchi katika viwanja vya Mapinduzi Square michezani muembe kisonge Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.Mhe.Dk Shein.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akihutubia wakati wa hafla ya sherehe za uwekaji wa Jiwe la Msingi majengo mawili la Michezani Mall na la Sheikh Thabit Kombo, michezani Jijini Zanzibar, wakati wa shamrashamra za Kuadhimisha sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi Zanzibar, katika viwanja vya Mapinduzi Square Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimsikiliza Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar.Mhe.Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa, akizungumza wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi jengo la Sheikh Thabit Kombo michezaji Jijini Zanzibar, (kushoto kwa Rais )Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar.Dr.Abdalla Juma Mabodi na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.Mhe.Zuberi Ali Maulid.
  • WAFANYAKAZI wa ZSSF wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo picha ) akihutubia katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Jijini Zanzibar, wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Majengo mawili ya Mradi wa (ZSSF ) ya Michezani Mall na la Sheikh Thabit Kombo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akisoma kijarida cha ZSSF wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la Msingi la Miradi ya ZSSF katika eneo la michezaji Jijini Zanzibar.
  • KATIBU Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar.Ndg. Khamis Mussa akitowa maelezo ya Kitaalam ya Miradi ya Ujenzi wa majengo ya Sheikh Thabit Kombo na la Michezani Mall, wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi, ikiwa ni shamrashamra za sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi Zanzibar
  • NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar.Dr. Abdalla Juma Mabodi akizunguma wakati wa hafla hiyo ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Jengo la Sheikh Thabit Kombo michezani muembe kisonge Jijini Zanzibar ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar
  • WAGENI waalikwa na Wanchi wa Zanzibar wakifuatilia hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Majengo mawili ya Mradi wa ZSSF michezani Jijini Zanzibar ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein(hayupo picha) akihutubia katika viwanja vya Mapinduzi Square michezani Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Bandari na Soko la Samaki katika eneo la Malindi Wilaya ya Mjini Unguja ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Dk.Shein ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Bandari na Soko la Samaki Malindi Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea eneo la Ujenzi wa Bandari na Soko la Samaki Malindi Unguja, wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar. (kulia kwa Rais) Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Mhe.Mmanga Mjengo Mjawiri na (kushoto kwa Rais) Mwakilishi wa Balozi wa Japan Nchini Tanzania Bw. Katsutoshi Tadeka.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Bandari na Soko la Samaki Malindi Wilaya ya Mjini Unguja (kushoto kwa Rais) Mwakilishi wa Balozi wa Japan Nchini Tanzania Bw.Katsutoshi Tadeka na (kulia kwa Rais) Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Mhe Mmanga Mjengo Mjawiri, hafla hiyo imefanyika katika eneo la ujenzi huo Malindi ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Bandari na Soko la Samaki Malindi Wilaya ya Mjini Unguja (kushoto kwa Rais) Mwakilishi wa Balozi wa Japan Nchini Tanzania Bw.Katsutoshi Tadeka na (kulia kwa Rais) Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Mhe Mmanga Mjengo Mjawiri, hafla hiyo imefanyika katika eneo la ujenzi huo Malindi ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Uvuvi Zanzibar Ndg. Mussa Aboud Jumbe akitowa maelezo ya michoro ya jengo la Soko la Samaki inayojengwa katika eneo la Malindi , wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Bandari na Soko la Samaki, ikiwa ni shamrashamra za Sherehe za kuadhimisha Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya ufunguzi wa Jengo la Skuli Mpya ya Sekondari Rahaleo Jijini Zanzibar kwa niaba ya Skuli tisa zilizojengwa Unguja na PembaRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya ufunguzi wa Jengo la Skuli Mpya ya Sekondari Rahaleo Jijini Zanzibar kwa niaba ya Skuli tisa zilizojengwa Unguja na Pemba
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Bandari na Soko la Samaki katika eneo la Malindi Wilaya ya Mjini Unguja ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Bandari na Soko la Samaki katika eneo la Malindi Wilaya ya Mjini Unguja ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • MWAKILISHI wa Balozi wa Japan Nchini Tanzania.Bw.Katsutoshi Tadeka, akizungumza wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Bandari na Soko la Samaki Malindi Zanzibar.ikiwa ni shamrashamra za kushrehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya malindi
  • BAADHI ya Wananchi na Wavuvi kutoka sehemu mbalimbali ya Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akihutubia katika viwanja vya Malindi (hayupo pichani) wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Bandari na Soko la Samaki Malindi Mjini Unguja
  • WAZIRI wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,kuhutubia hafla hiyo, ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar
  • BAADHI ya Wananchi waliotoka sehemu mbalimbali za Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akihutubia katika viwanja vya Malindi (hayupo pichani) wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Bandari na Soko la Samaki Malindi Mjini Unguja.

Dk.Shein aweka jiwe la mnsingi Mradi wa miundombinu ya Kilimo cha Mpunga wa Umwagiliaji Maji

  • KATIBU Mkuu Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Bi. Maryam Juma Mabodi akitowa maelezo ya Kitaalam ya Ujenzi wa Mradi huo wa Miundombinu ya Kilimo cha Mpunga wa Umwagiliaji Maji, wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi ikiwa ni shamra shamra za sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • WAZIRI wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Mhe.Mmanga Mjengo Mjawiri akizungumza wakati wa hafla hiyo kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kuzungumza na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati wa shamra shamra za sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa Miundombinu ya Kilimo cha Mpunga wa Umwagiliaji Maji katika eneo la Kinyasini Kisongoni ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • NAIBU Mwakilishi Mkaazi wa Benki ya Exim ya Korea Ndg.Kang Sangjin akitowa salamu za Kores Eximbank wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa Miundombinu ya Kilimo cha Mpunga wa Umwagiliaji Maji unaojengwa na Kampuni ya Kolon –Hansol Jv kutoka nchini Korea
  • WAZIRI wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Mhe.Mmanga Mjengo Mjawiri akizungumza wakati wa hafla hiyo kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kuzungumza na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati wa shamra shamra za sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Miundombinu ya Kilimo cha Mpunga wa Umwagiliaji Maji katika eneo la Kinyasini Kisongoni Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar,( kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri