State House Blog

Dk.Shein amewaapisha Viongozi aliowateuwa (washauri).

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiingia katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar katika hafla ya kuwaapisha Washauri katika sekata mbali mbali baada ya kuwateuwa rasmi katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw.Abdalla Rashid Abdulla  kuwa Mshauri wa Rais Mambo ya Siasa katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw.Abdalla Rashid Abdulla kuwa Mshauri wa Rais Mambo ya Siasa katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
  • Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi (kushoto) Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zubeir Ali Maulid,Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Said Hassaan Said pamoja na Viongozi wengine wakiwa katika hafla ya kuapishwa washauri akiwemo Mshauri wa Rais Siasa Bw. Abdalla Rashid Abdulla na Bw.Ali Mzee Ali Mshauri wa Historia na Mambo ya Kale katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
  • Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa washauri akiwemo Mshauri wa Rais Siasa Bw. Abdalla Rashid Abdulla na Bw. Ali Mzee Ali Mshauri wa Historia na Mambo ya Kale katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar (kushoto) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi,Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali na Mshauri wa Rais Mhe.Chimbeni Kheri Chimbeni

Dk.Shein amezindua Meli ya Mafuta ya MT.Ukombozi II.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkurugenzi wa Kampuni ya Damen Shipyard Gorinchem, Kanda ya Afrika Mr.Ronald Maat, alipowasili katika viwanja vya Bandari ya Malindi Zanzibar kwa ajili ya Uzinduzi wa Meli ya Mafuta ya MT.Ukombozi II, hafla hiyo imefanyika
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Kepteni Azizi na kulia Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Ndg. Mustafa Aboud Jumbe,akiwa katika meli ya mafuta ya MT. Ukombozi II, wakati akitembelea Meli hiyo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kulia kwa Rais Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Ndg. Mustafa Aboud Jumbe na kushoto kwa Rais Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mhe.Dr. Sira Ubwa na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa, wakimsikiliza Msaidizi Nahodha wa Meli ya MT.Ukombozi II Ndg. Ameir Zuberi Kombo,akitowa maelezo wakati wa kutembelea moja meli hiyo baada ya uzinduzi wake uliofanyika leo katika bandari ya Malindi Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasili katika bandari ya Malindi Zanzibar kwa ajili ya Uzinduzi wa Meli ya Mafuta ya MT.Ukombozi II, akiongozana na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Ndg. Mustafa Aboud Jumbe.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akitembelea Meli ya Mafuta ya MT.Ukombozi II, akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Ndg. Mustafa Aboud Jumbe, wakati akitembelea meli hiyo baada ya kuizindua katika Bandari ya Malindi Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein,akiwa katika chumba cha kuongozea meli katika ya MT.Ukombozi II, kushoto Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balizi Seif Ali Iddi na Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe.Zuberi Ali Maulid na kulia Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar.Dr. Abdalla Juma Mabodi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja. Mhe. Hassan Khatib Hassan, wakimsikiliza Msaidizi Nahodha wa Meli ya Mafuta ya MT.Ukombozi II Ndg. Ameir Zuberi Kombo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Zuberi Ali Maulid,wakiwa katika chumba cha kuongozea Meli wakimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Ndg. Mustafa Aboud Jumbe, akitowa maelezo ya moja ya vifaa vya kuongozea meli wakati wa uzinduzi wa meli hiyo ya MT. Ukombozi II, uliofanyika
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Ndg. Mustafa Aboud Jumbe, wakati akitembelea Meli ya Mafuta ya MT.Ukombozi II, kulia kwa Rais Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Zuberi Ali Maulid.
  • KATIBU Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar.Ndg. Mustafa Aboud Jumbe, akitowa maelezo ya kitaalamu ya Uundaji wa Meli ya Mafuta ya MT. Ukombozi II, wakati wa sherehe za Uzinduzi wa Meli hiyo uliofanyika katika bandari ya Malindi Zanzibar.
  • NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar Ndg. Iddi Haji Makame, akimkabidhi mfano wa Hundi Mwakilishi wa Kampuni ya Damen Shipyard s Gorinchem iliounda Meli hiyo ya Mafuta ya MT.Ukombozi II, Mr. Ronald Maat, wakati wa hafla ya Uzinduzi na makabidhiano ya Meli hiyo,uliofanyika katika bandari ya Malindi Zanzibar.
  • Baadhi ya Wageni waalikwa katika sherehe za Uzinduzi wa Meli Mpya ya Kisasa ya Mafuta ya MT. Ukumbozi II, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akihutubia hafla hiyo katika viwanja vya bandari ya Malindi
  • WAFANYAKAZI wa Shirika la Bandari Zanzibar wakishangilia wakat wa Uzinduzi wa Meli ya Kisasa ya Mafuta ya MT.Ukombozi II, uliofanyika katika bandari ya Malindi Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya sherehe za Uzinduzi wa Meli Mpya ya Kisasa ya Mafuta ya MT. Ukombozi II, wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika bandari ya Malindi
  • BAADHI ya Wageni waalikwa katika sherehe za Uzinduzi wa Meli Mpya ya Kisasa ya Mafuta ya MT. Ukumbozi II, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akihutubia hafla hiyo katika viwanja vya bandari ya Malindi
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya sherehe za Uzinduzi wa Meli Mpya ya Kisasa ya Mafuta ya MT. Ukombozi II, wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika bandari ya Malindi

Rais wa Zanzibar Dk.Shein awasili nchini akitokea nchini Ras Al Khaimah baada ya kumaliza ziara yake

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja. Mhe. Hassan Khatib Hassan,alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akitokea Nchi za Umoja wa Falme wa Nchi za Kiarabu (UAE)baada ya kumaliza ziara yake ya wiki moja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbali mbali vilioko Zanzibar,katika ukumbi wa VIP Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume,baada ya kumaliza ziara yake ya wiki moja Ras Al Khaimah
  • MKURUGENZI wa Idara ya Habari Maelezo Zanzibar Dkt. Juma Mohammed akiongoza mahojiano ya Waandishi wa Habari wa vyombo mbali mbali vilioko Zanzibar,katika ukumbiwa VIP Uwanjawa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbali mbali vilioko Zanzibar,katika ukumbi wa VIP Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume,baada ya kumaliza ziara yake ya wiki moja Ras Al Khaimah
  • WAANDISHI wa Habari wa Vyombo mbali mbali vilioko Zanzibar wakifuatilia taarifa ya ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, (hayupo pichani) akizungumzia ziara yake ya wiki moja Ras Al Khaimah, baada ya kuwasili Nchini Zanzibar

SMZ yatiliana saini na mfuko wa Khalifa Fund UAE

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mrithi wa Utawala wa Abu Dhabi na Naibu Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi wa Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan,baada ya kumalizika kwa hafla ya utiaji wa saini na Mfuko wa Khalifa Fund, uliofanyika katika makaazi ya Mtawala huo Mjini Abu Dhabi
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na Mrithi wa Utawala wa Abu Dhabi na Naibu Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi wa Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan, wakishuhudia utiaji wa saini, kwa upande wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar umewakilishwa na Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi.Mohamed Ramia Abdiwawa na kwa upande wa Mfuko wa "Khalifa Fund" umewakilisha na Mwenyekiti wa Mfuko wa “Khalifa Fund” Sheikh. Hussain Ali Nowais alisaini kwa niaba ya Serikali ya (UAE)
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na Mrithi wa Utawala wa Abu Dhabi na Naibu Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi wa Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan, wakishuhudia utiaji wa saini, kwa upande wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar umewakilishwa na Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi.Mohamed Ramia Abdiwawa na kwa upande wa Mfuko wa "Khalifa Fund" umewakilisha na Mwenyekiti wa Mfuko wa “Khalifa Fund” Sheikh. Hussain Ali Nowais alisaini kwa niaba ya Serikali ya (UAE).
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwa katika picha ya pamoja (kushoto) Mrithi wa Utawala wa Abu Dhabi na Naibu Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi wa Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan,na Mwenyekiti wa Mfuko wa “Khalifa Fund” Sheikh. Hussain Ali Nowais, na kulia Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa.

Dk.Shein amekutana na Uongozi wa Taasisi ya Utafiti na Sera ya Sheikh Saud Al Qasimi.

  • Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sera na Utafiti ya Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasimi Ndg,Natasha Ridge (kushoto) akimkabidhi kitabu Maalumu cha Mitaala ya Elimu utoaji wa mafunzo ya kitaalamu ya kuwajengea uwezo walimu kuanzia ngazi ya Msingi hadi Sekondari Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati ujumbe wa Taasisi hiyo ulipofanya mazungumzo na Rais Dk.Shein na Ujumbe wake katika Hotel ya Waldorf Astoria Ras Al Khaimah.
  • Washiriki wa Mkutano wa pamoja kati ya ujumbe wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Taasisi ya Sera na Utafiti ya Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasimi wakiongozwa na Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh.Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakiwa katika mkutano ambao ulijadili kwa kina Masuala ya Elimu kwa pande zote mbili katika Ukumbi wa Hotel ya Waldorf Astoria Ras Al Khaimah.
  • Baadhi ya viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika Mkutano maalumu na Taasisi ya Sera na Utafiti ya Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasimi nchini Ras Al Khaimah (U.A.E) ambapo wapo nchini humo na Mheshimiwa Rais Dk.Ali Mohamed Shein kwa Ziara maalumu ya siku saba (kushoto) Waziri wa Fedha na Mipango wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mh.Mohamed Ramia Abdiwawa, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi Gavu, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mh.Said Hassan Said na Waziri wa Ardhi,Ujenzi,Maji na Nishati Mh.Salama Aboud Talib
  • Washiriki wa Mkutano wa pamoja kati ya ujumbe wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Taasisi ya Sera na Utafiti ya Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasimi wakiongozwa na Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh.Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) wakiwa katika mkutano ambao ulijadili kwa kina Masuala ya Elimu kwa pande zote mbili katika Ukumbi wa Hotel ya Waldorf Astoria Ras Al Khaimah.